Hali ya upatikanaji wa Maji imeendelea kuwa kilio kikuvwa Kwa wananchi wanaoishi vijijini ,hayo ndiyo maisha ya wapiga kura wetu,mliofika kuwaomba kura ,maji yasiye mtego Kwa wapiga kura,wananchi wanahitaji huduma ya maji safi na salama.Hawahitaji rushwa ya maji.
Mnaokusanyika hapo Mlimani City wala msihangaike, ukiwa na thermos lako la maji ya moto ni mara moja una msosi ili usiondoke eneo la tukio na kulinda kura yako. Beba #eeZeeNoodles uwe na nguvu ya kutosha ya kulinda ushindi wako.
Wenzenu Dodoma wamezila sana mambo yao mswanooo😂
Kwa maelekezo ya Chama Katibu Mkuu, @AdoShaibu alitangazia wanachama na Umma wa Tanzania kwamba wenye nia ya kugombea milango iko wazi
Leo 16 Januari, 2025 rasmi @SemuDorothy ametangaza nia ya Kugombea nafasi ya Urais hakika uwezo wake hauna mashaka anaweza.
Kampuni ya Mirumbani Foods ambayo ni Kampuni tanzu ya Kundi la Makampuni @mirumbani inakuletea bidhaa mpya sokoni #eeZeeNoodles. Ni nzuri, zenye ladha na rahisi kupika. Ni instant. Hii ni biashara yangu, niunge mkono!