Leo tulienda kuongea na wanafunzi wa Institute of Public Administration ZNZ. Nashukuru kwa mwalimu wa chuo hichi kuniomba niwe mlezi wa timu yao ya wanafunzi, ila pia Green Light Foundation imeahidi kuchukua wanafunzi wa 5 wa ICT kila mwaka kwa mafunzo zaidi-practical.