Huyu anaedanganya wananchi kuwa ukichelewa ku file TRA KWENYE TRANSFER kwa
Mwezi unakuwa na penalty ya laki 1 au kuwa ukikosa tin yake kuwa sms zinaenda zote kwake imetosha sasa mnatufanya tunawaelezea wateja sana tumechoka sasa muache dahhhπππππ
Nimeona dc wa kisarawe amekamata watu zaid ya 50kuwa wameenda kuuziwa maeneo laki 2 au laki 3 nakusema wanatapeliwa hvy amewachukua watu 50 amewaweka ndani wotee πhii ni mihemko kaa mihemko mingine alipaswa kubeba watalamu wa ardhi kwenda kujiridhisha na umiliki wa anaeuza basi
Dahhh leo nimepita instagram bwana nikakuta kijana trader anajiita cassim mandanda sijui πππ aiseeh i can guarantee huyu hata sentimental analysis hajawh kufanya ππΏππΏπ€£π€£π€£π€£ yani traders mmekuwa ni content after content
Sijui UVCCM waliona nin ila uwezo wa kiuongozi wa huyu bwana ni mdogo ni moja kati ya wenyekiti wadhaifu wa uvccm niliowahi kuwaona ambae anakurupukia kila ajenda no sense of humor yan huyu ni trash nitajiweka pembeni na UVCCM mpaka atakapomaliza muda wake
Wanasiasa wengi na viongozi wengi wana uwezo mdogo sana wa kufikili na kujenga hoja huwa wanajihu maswali muhimu kwa kutumia hisa mara nipe ushahidi, mara usisikilize watu mara ulimuona nani sijui tumia akili yako ila hawawezi kujibu swali kwa fact period
Wanasiasa wengi na viongozi wengi wana uwezo mdogo sana wa kufikili na kujenga hoja huwa wanajihu maswali muhimu kwa kutumia hisa mara nioe ushahidi, mara usisikilize watu mara ulimuona nani sijui tumia akili yako ila hawawezi kujibu swali kwa fact period.
Ukiachana na uongozi wako kwenye kampuni ni kweli unahitaji kuwa karibu na viongozi ni kweli lakini ukisema yuko sahihi kwa aslimia nyingi kama 80% hii wenzetu mnapima kutokana na nin kaka
Sina hakika na hili ila naweza kukubaliana na wewe kwamba Rais Samia ni bora kwenye mambo mengi sana. Mtu asiye na uelewa wa mambo ya kisiasa au anae tazama kila jambo kwa hisia au kichama hawezi kutuelewa ataona kama ni uchawa au kujipendekeza ila Rais Samia ni bora kwenye mengi sana.
Katika kupitia insta yangu nimeona mteja aliuliza kuhusu hatimiliki lakini ikatokea mwananchi mwenzie akampa
Maana ya hatimiliki hii imeonesha uwezo mdogo kabisa wa wanachi kujua kuhusu ardhi ndoman tunasema linapokuja swala la ardhi usisikilize jirani yako fata wataalamu
Wizara ya ardhi kitengo cha customer relations tunaomba hii sms yenu βmuamala wako unesitishwa, fika ofisini kuchukua nyaraka zakoβ ibadilishwe aseee semeni muamala wako una marekebisho kadhaaa isiwe sms ya automatic mteja apewe sababu inatisha sana wateja mnatuharibia kazi ππ
Kushoto pichani ni kamishna mkuu wa ardhi ndugu Nathaniel Mathew Nhonge
Kulia ni kamishina wa ardhi kanda ya Dar Es Salaam na Pwani Shukrani Kyando
Hawa ni vinara wa kuchochea migogoro ya ardhi badala ya kuwa watatuzi wa migogoro
Read my lips
π π tulisemaga mkasema kasomea Sheria akasema amri ya mahakama ni nin huku kwenye ardhi ikija na mihemko humalizi hata mwaka wa kiserikali kugumu sana ππππ
Huyu Jerry ana kesi ngumu sana mahakamani ya kuvunja ghorofa la mtu Mbezi beach bila kufata sheria, bila notice na kumwita mmiliki tapeli mkubwa wa viwanja.
Kesi ya jinai aliyomfungulia imeondolewa na mahakama kwa kukosa ushaidi na sasa mmiliki anamdai Jerry zaidi ya bilioni 400
π
UVCCM hatujui Gwajima alitoa Ushauri tu?Hatujui kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 37 ya Katiba ya JMT(1977 Rais atakuwa huru na hatalazimika kufuata ushauri wa mtu yeyote?Je Ushauri umekuwa Hoja inayopaswa kujibiwa? Basi watafutwe watu makini wa kujibu hawa wengine wanaharibu zaidi
Kwa heshima mkuu sio kwamba hatutaki kuangalia bunge la bajeti sasa kwenye wizara ya mambo ya ndani badala wabunge msemee kikokotoo kwa walimu mishahara na vitu vya msingi mnasema "shughulikieni kenge" so mnataka tuangalie matusi yenu hell no acha tuishi na kindege aviator tu .
Ukombozi unahitaji nguvu ya umma. Umma wetu muda huu unafuatilia zaidi harusi za wasanii, matukio ya burudani na michezo kuliko vikao vya bajeti vinavyoendelea muda huu ambavyo, vinagusa maisha yao moja kwa moja kwenye kila nyanja. Hiki ndicho kinatutofautisha na majirani zetu.