Tupate kastory. In swahili Swahili Version ๐
ILA WANAWAKE ๐๐๐ผ Wanaamini kabisa mwanaume anaweza akamsamehe kabisa from cheating ๐๐ค๐
Hakuna Mwanaume huyo
1/3
@iamkhoisani Kazi ni muhimu zaidi kwani inanipa fursa ya kutumia ujuzi wangu, kujifunza, na kuchangia mafanikio ya taasisi. Hata hivyo, mshahara ni muhimu kama motisha na kutambua thamani ya kazi. Napenda mazingira yanayochochea ukuaji wa taaluma na malipo yanayoendana na mchango wangu
@iamkhoisani We are all aware of how crucial money is to meeting our everyday necessities, including clothing and food. However, money is a result of work; even religious books (holy books) have stated that a person who does not work should not eat, and eating comes after obtaining money.
Kila siku binadam tunavumbua namna tofauti katika kuendesha gurudumu la maisha kuwa more productive. Ona sasa ufugaji mpya wa kuku. Wafugaji kuna la kujifunza hapa๐ค๐ค๐ค๐๐ผ
Uliwahi Kujiuliza ni Kwanini kuna Namba za Magari
yaani [Plate Numbers] tofauti tofauti Tanzania?
Sasa Leo Nimekuandalia Makala ndefu na iliyoshiba itakayojibu swali lako na natumai Utaelewa zaidi.
Shuka na Uzi๐งต๐งต