@HecheJohn Hotuba yako ya siku ya leo ilibeba elimu kubwa sana. Umetoa elimu kubwa sana uwanjani siku ya leo, tuliokuwepo tumewasikia watu wengi wanakupongeza. Kongole mh. M/KT
@HildaNewton21 Serikali yao wakawatangazia umma kuwa moja ya mikakati ya kuondoa tatizo hilo ni kuwa wameingia mkataba na serikali ya Tanzania kuhusu kuuziwa umeme na wakasema miundo mbinu yao ya kuunganishwa na umeme wa kutoka Tanzania ndo ipo kwenye ujenzi.
@HildaNewton21 Zambia mwaka juzi walikumbwa na ukame, bwawa lao la kuzalishia umeme halikuwa na maji. Nimekaa kule mwaka jana hadi mwezi wa kumi. Walikuwa na mgao mkali wa umeme. Industrial area walipewa umeme kwa masaa saba kwa siku, majumbani masaa matatu kwa siku.
@PM_Sebatz@HildaNewton21 Zambia mwaka juzi walikumbwa na ukame, bwawa lao la kuzalishia umeme halikuwa na maji. Nimekaa kule mwaka jana hadi mwezi wa kumi. Walikuwa na mgao mkali wa umeme. Industrial area walipewa umeme kwa masaa saba kwa siku, majumbani masaa matatu kwa siku.
@MwlNickkp@LogicAnalyst_@frediejustine Unajuaje kama ni kaka? Mbona hatumii jina lake?
Watu kama hawa hawana mchango wowote ule, kila kukicha analalamika humu.
@iamkhoisani I then anticipate receiving compensation from that employment (salary), which will enable me to meet my fundamental necessities and carry out my daily obligations.
@iamkhoisani Therefore, the most crucial thing for me is to locate a job that would allow me to demonstrate my skills while also providing me with the chance to advance in the relevant field.
@Buberwa_ Aanze na cement kama 100, then anunue na nondo tani moja (nondo 12mm nafikiri ndo huwa zinatoka sana). Afungue ofisi apambane na amtangulize Mungu kwenye kila kitu. Akianza mdogo mdogo itampa uzoefu wa biashara hata mbeleni akipata mtaji mwingine anakua anaongezea vitu
@Buberwa_ Aanze kuuza cement, atafute masupplier wakubwa ambao watakuwa wanamuuzia bei ya jumla, then atafute frame nje kidogo ya mji ambayo watu wanajenga (awasogezee huduma), anaweza akawa anatengeneza faida hata ya 500 kwa mfuko.
@theboy2019Df@Liberatus80@TunduALissu@freemanmbowetz@ChademaTz Sasa kama hakuna shida, usianze kusema kuwa hatuchangi, kama huchangi vunga tu usisumbuke kujieleza sana. Then usiseme sisi sema mimi inatosha wengi watachanga kwa maslahi mapana ya chama.
@DrCyrilo Wanaomuwekea mgomo baridi Lissu ni wale ambao walikuwa ni wanufaika na uongozi ule mwingine, imani yangu ni kubwa kuwa Lissu hawezi fail kwa sababu yao kwani anasupport ya WanaCDM na Wananchi wengi. Wakati umemtaka Lissu hivyo wakubali na kujenga Chama