๐ฅโฆ๏ธCHADEMA VITANI โฆ๏ธ ๐ฅ๐๐
Ukiwaambia kuwa @ChademaTZ2 ni Mungu ameruhusu iwepo kwa matumizi yake ya baadae watu hawaelewi.
Matukio ya hivi karibuni yanaonesha wazi kwamba badala ya Serikali kupambana na Chadema sasa wanapambana na Mungu
Nakupa kwa uchache:-
1. Kukamatwa @TunduALissu
2. Kutekwa @mdudenyagali
3. Kuvunjwa vunjwa wanachama mahakamani
4. Kesi ya @LembrusMchome
5. Kesi ya Issa MOHAMED
6. Kuwindwa kukamatwa @HecheJohn
7. Michezo michafu ya #G55
8. Kambi ya kumtafuta Mdude Mbeya kumwagwa sumu
9. Fr Kitima kushambuliwa
10. Kuzuiwa viwanja vya mikutano
Nimechukua haya kwa Muhtasari
HAYA YOTE YANATOKA KWENYE MAAGIZO YA *MTU FULANI MMOJA*
MIMI BINAFSI SIO MWANA CHADEMA, NA WALA SIJAWAHI KUFIKIRIA KUJIUNGA NA CHAMA CHOCHOTE
Nazungumza wazo la Mungu juu ya hiki chama.
Haya yanayotokea sasa, ni ile ile scenario ya Mungu kuufanya Moyo wa Farao kuwa mgumu ili AMTANDIKE VIZURI NA MAPIGO 10
UNABII ; KUNA WATU WAWILI WAZITO SANA(ZINGATIA WAZITO SANA) WATATUACHA DUNIANI. Take note๐
Mungu awezi kuuangusha utawala dhalimu bila kuwatandika kwanza fimbo ya ghadhabu yake.
๐ฉธ๐ฉธโฃ๏ธโฃ๏ธโฃ๏ธMAKAFARA YAO HAYATAWASAIDIA KWA SASA, MAANA MUNGU KAAMUA
ASIZIMIE MOYO MTU YEYOTE ๐ช๐ช๐พ๐ช๐พ
#BadoPigoMoja Farao atafurushwa
12. 05. 2025๐๏ธ
IWAFIKIE;
@MariaSTsehai@chacha_heche@AdvMahinyila@godbless_lema@AdvMatata@amanigolugwa@jjmnyika
@YerickoNyerereT Hizo hela wanazokulipa ungetumia kusomeshea watoto mnyalukolo sema basi masharti waliyokupa ni magumu sana.
Michongo yote wanayokupa uibroadcast inabuma
@joharimshana Mwenye njaa ni nani kati ta anayewaambia watu haki zao VS anayeua kuteka na kuiba kura ili asalie madarakani?
HATUWATAKI, HAMTUELEWI?? MUNGU ATAWAELEWESHA VEMA
Kihistoria muda wa kitu ukifika hauwezi kubadili tena.
Tangu zamani..
Muda wa biashara ya utumwa kukomeshwa ulipofika haikuwezekana kuzuia tena.
Muda wa uhuru ulipofika wakoloni walilazimika kuachia hizi Nchi, hata walipojaribu kutumia mabavu haikuwezekana..
Moyo wa wananchi umeishakataa CCM, Muda wa ccm umekwisha, bunduki, mabavu, mauji na utekaji haviwezi kubadili hali hiyo.
Kucheza na hisia za wananchi na mioyo ya watu ni kucheza na moto.
Uhalali wa serikali dhalimu hauwezi kuletwa na bunduki.
@barakawamb We ni mpuuzi kumbe.?? Vurugu zipi unazungumzia? Mungu atawatandika mtajua hamjui...
Mnadhani Mara hii mtatumia wasimamizi wa uchaguzi kuiba kura kama mlivyofanya 29?
@ccm_tanzania Kwamba wananchi ni watoto sana hawaelewi mambo haya?
Sisi tunawataka walioua wenzetu kama walikana uraia na ni wa nje au la.
TANZANIA HAIWEZI TAWALIKA KWA MABAVU TENA