MANENO HAYA YAMETIMIA MASIKIONI MWAKE‼️
Yule uliyefikiri ni mdogo na hawezi kukuonya kwa lolote, Mungu ametengeneza mazingira ya wewe uwe mdogo kwake, mbele ya madhabahu yao. Mamlaka ya Serikali sio kubwa mbele ya Mamlaka ya Mungu.
Usiwachezee Watumishi wa Mungu, utaumia bure🔥
Ila Mafwele tulikuonya - you are the weakest link! Ungekuwa na busara ungejipanga mapema maana weakest link ndo huwa eliminated wa kwanza na wenzake!
Upo?
Eniwei #TutaelewanaTu
Kuna viumbe ukiondoa maisha ya CHADEMA katika maisha yake, anabaki na nguo zake za ndani tu…. Wamepata hadhi na heshima wakiwa CHADEMA… wamekuwa wabunge, meya, madiwani kupitia CHADEMA… lakini ndiyo wametumika zaidi kuumiza taasisi, hisia za wanachama na wafuasi wa CHADEMA.
Jamani amkeniiiiiiiii, njooni muone kwa nini watu hawataki kuachia nchi….
Haya wananchi, kama mnakumbuka kipindi cha Magufuli Lugumi alitolewa kabisa kwenye system ila kwa sasa Lugumi ndio anatumika kwa kiasi kikubwa na Abdulna Rais wa nchi kwenye kufanya ufisadi. Yani ni Raisi wenu kupitia Lugumi wameamua kuingilia idara nyeti ya ununuaji na uuzaji wa silaha na kwa kupitia hapa wamekua wakijipigia pesa kama hizo mnazoona hapo. Yani kimama ndio anapambana Lugumi alipwe mabilioni ya pesa za walipa kodi. Yani malipo ya Lugumi yakichelewa kimama anapiga simu personally kuwa alipwe, na Lugumi akishalipwa pesa anabeba Abdul.
Juzi kulikuwa na kikao kuhusu hili deni ambalo mpaka sasa watu wa majeshi hasa usalama wa taifa wanashangazwa na huu ulanguaji wa silaha za nnchi kitu ambacho kilipaswa kua siri sana leo inapewa taasisi binafsi. Kwa kifupi hili dili lote ni la Abdul. Mnaambiwa Usalama wa taifa wanatoa macho tu.
Sasa kwenye kuhoji kwa kina matumizi sahihi ya hizi pesa zilizopitishwa april 2024 na kulipwa awamu mbili cha ajabu. Simu zinapigwa kutoka juu( katibu wa ikulu) na kuambiwa wanaohoji hawana mamlaka ya kuhoji kwani dokezo jipya linatakiwa kulipwa tena mwezi huu kwa awamu ya pili.
.
Hizo 15 Billion Mama alizosema wapewe usalama ndio pesa zilizotumika na usalama ili kuteka watu na kuumaliza upinzani. Yani hizi pesa walipewa wakuu wa Usalama ili wakadili na upinzani na watu woote wanaokosa serikali.
.
.
.
@samia_suluhu_hassan @ccmtanzania@polisi.tanzania come say this is fake again… Wapumbav zenu watu wamechoka ufisadi wenu sasa wanaachia documents tu liwalo na liwe. Wako tayari kufa ili wakomboe nchi…
.
.
Lugumi nisamehe ulishanisaidiaga huko nyuma ila sasa tuko kwenye ukombozi wa nchi
Breaking: Mwenyekiti wa chama Taifa, Mh. Tundu Lissu, amekamatwa na polis jioni hii, Mbinga, Songea. Mh. Lissu amekamatwa baada ya mkutano wa hadhara. Ukamataji huu umeongozwa na OCD na sababu za kukamatwa kwake hazijajulikana.
Admin.
Amini tukifanikiwa kuongozwa na Serikali ya chama tofauti na iliyopo sasa,ni kwamba itajitahidi kutofanya makosa yaliyo fanywa na serikali iliyo tangulia kwakujua wazi baada ya miaka mi5 kuna uchaguzi tena, hivyo kama tuliwapa kura tunaweza kuwaondoa wao pia.#NoReformNoElection