⚡️ “We must be ready.” German general on a possible Russian attack on NATO as early as 2029
The head of Germany’s land forces, Christian Freuding, said that NATO is considering scenarios of a possible conflict with Russia.
It could take place as early as 2029.
At the same time, the general stressed that Russia could make such a move even earlier — despite the fact that the war in Ukraine has already been going on for five years, and the Russian army, according to Kyiv, has suffered more than 1.3 million killed and wounded.
Russia is actively building new barracks and warehouses along its western border, including near Finland and Norway.
In the Pechenga district of the Murmansk region, major military facilities are being constructed. The number of Russian forces near the border could increase by 4–5 times.
Construction is underway from the Arctic to Kaliningrad. New depots, barracks, and equipment are appearing.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu Umma kuwa Alhamisi, tarehe 11 Juni 2026, Mahakama ya Rufani ya Tanzania jijini Dar es Salaam itasikiliza Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Jamhuri na Mwenyekiti Tundu Antiphas Lissu.
Kila siku wanatoa LESENI kwa makampuni ya kubet afu leo wanajifanya hawataki vijana TUBETI.
Kama hutaki tubeti FUNGIA hizo kampuni za kubeti—kupandisha KODI kwamba tutaacha kubeti ni ishara ya kuonyesha MNA NJAA tuu hakuna jipya hapa.
VIDEO:
“Kuna watu wengi sana ndani ya CCM wazuri tu waadilifu, hawakubaliani na nchi inavyoendeshwa, wanaona uchafu huu hawakubaliani. Kuna watu wengi ndani ya serikali wanatusaidia, wanatupa taarifa, wanajua, wanaona nchi yetu inavyoharibiwa, rasilimali zinavyotawanywa wako wengi tu”, Heche.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche akizungumza jana katika mahojiano na kituo cha redio cha Bongo FM
JUST IN: President Trump says that the strategic Strait of Hormuz will officially reopen "very soon, maybe over the weekend", following the signing of his historic multi-nation peace accord. 🇺🇸🇮🇷
JD Vance, along with other U.S. representatives, could travel to Europe to represent the United States at the signing ceremony.
By maintaining a naval blockade until the final moment, President Trump forced the Iranian regime to fully capitulate, achieving peace through strength.🫡
Kesi ilihairishwa ili Lissu apewe option 2. Apewe stahiki zote kukaa gerezani (5B) au awekwe under arrest kwa Mwaka Mzima, bado ni kizungumkuti.
🖊️ @Britanicca0
Nilipata Mawasiliano ya mtu mzito CCM amenambia
Lissu amekaba hoja zote hawana jipya, leo ilikuwa afikishwe mahakamani Lakin Jana nilivyodekeza sehemu Dawati la Ikulu wakiwa na watu wanne wa upande wa Magereza
1.Jeremiah Yoram Katuma
2.Emmanuel Malisa,
3.Edith Mbogo
Ndani ya ukumbi wa Lugimbana waliitwa na
kumbuka ilikuwa siku ya kufungua mafunzo kwa maafisa tarehe 10, June ,2026,
Baada ya kikao waliitwa na msaidizi wa Dawati Ikulu akiwa na majaji wawili ambao sasa sitawataja maana wameonekana kutokuwa upande wao kwa kusema Lissu apewe 5Bilion ashawishiwe aachane na siasa, mambo yakagonga mwamba!
Kwanza taarifa ilianza kutoka ikulu kwamba Lissu asipelekwe mahakamani kuna jambo la kuweka sawa baina yake ma serikali
Option ya Pili ikatoka kwa Mjeshi na IGp kwamba Awekwe under arrest kwa Mwaka mmoja na wammalize taratibu akiwa nje ya gereza ili isionekane kuwa kafia gerezani (this is serious allegations na Nina ushahidi ila natunza now)
Jinsi ya kumshawishi wamependekeza Majina matatu Ila wakasema wasiwe Heche, Nshala wala Lema (hao waliopendekezwa hawakuhusishwa wala hawajui bali ilikuwa ni mapenkezo kuwa wahusishwe akiwemo na mstaafu maarufu wa chama fulan) kama wangeshiriki ningewataja Ila Kwakuwa hawakuambiwa chochote ndo maana siwapi tuhuma yeyote TUWAKAUSHIE KWANZA ,hatujui kama wangekubali au lah,
Kwanini wlipendekeza wapinzani hao wahusike ionekane Lissu na wenzake wameridhika na jinsi alivyoachiwa hata kama insingewekwa sababu public, japo suala kuna mmoja kavujisha Siri kwa wanaharakati kwamba Lissu will be under arrest! Though hawakujua kama ameandaliwa na option ya 5B,
Kumekuwa na mgongani ndani ya Serikali ngazi ya juu kabisa kuhusu suala la Lissu linavyopelekwa, hata wengine wanavyo endesha mambo! Wengine wamefika hatua Mpaka wanatuhumiana mambo mazito mno hadi kuuana, Wengine wamebadilisha hadi walinzi ,
Umoja wa Ulaya, na Marekani wamebana sana kuna barua wamelimwa Tanzania nazisubiri nitumiwe niweke! Kuhusu mienendo ya Haki za binadamu Tanzania, nchi kama Sweden na Ubalozi wake pia wanataka kupunguza msaada kwa Serikali ya Tanzania kwa zaidi ya Asilimia 80 yaan hii imezidi hata ambavyo Magufuli alipinguziwa,
Tuna orodha ya wanasiasa zaidi ya 120 ambao ni CCM nao wameshapokea barua kutokanyaga nchi zao na pili ka option kanakoumiza wao ni watoto wao wanaosoma kule kufutiwa visa, mali walizo nazo kukamatwa ikiwemo fedha walizoweka nje,
Mbaya zaidi Samia kajichanganya kaenda Urusi ambao wao wakikupa zawadi au msaada zaidi ni kukurithisha vikwazo vyao! Hapa tunaongea USA imeendelea kuiweka Tanzania under surveillance kwa huyu mama kujichanganya na anaenda kusema taarifa za uongo Russia,
Tanzania imekuwa blacklisted sasa hapo juu ndo wanakaangana
Mmoja analaumiwa kutosema chochote kuhusu wanayemuita muhaini Lissu ye yuko kimya tu
Mwingine mkubwa zaidi yeye anatafuta legitimacy ya anachomfanyia Lissu gerezani
Hii kesi ya Lissu ni kama kijiji kilichokula nyama na supu ya Mambo na hawana choo cha kudumu uharo utaonekana tu!
Ntarudi tena acha machawa wajichanganye hapa waone
Nitarudi
Cc @Britanicca0
Always verify the source. Truth never needs noise-only facts. Facts speak louder than propaganda and misleading narratives.
They didn’t care about human lives. They lied about everything else, so it should surprise no one that they continue to spread misinformation to avoid accountability. When information comes from only one side, recognize it for what it is: an attempt to shape a narrative.
If there is no official statement from the U.S., then there are no confirmed changes.
Next week is an important week. Continue praying. Pray for humanity without ceasing. Pray for Tanzania.
The countdown is on. In the end, truth and justice will prevail. 🙏🏾🇹🇿
#TruthMatters #JusticeForTanzania #Accountability #PrayWithoutCeasing #TruthWillPrevail #freetundulissu
Kiswahili:
Daima hakikisheni chanzo cha taarifa. Ukweli hauhitaji kelele bali unahitaji facts. Ukweli unajisemea kuliko propaganda na taarifa za kupotosha za wanaolipwa kudanganya. Tusubiri official statement zitatoka kwa walioweka bill na vikwazo siyo washutumiwa.
Hawakujali maisha ya watu. Walidanganya kuhusu mambo mengine mengi, sasa ndiyo watasema ukweli au kuendelea kusambaza upotoshaji ili kukwepa uwajibikaji. Taarifa zinapotoka upande mmoja pekee, zitambue ni jaribio la kujenga narrative fulani.
Ikiwa hakuna taarifa rasmi kutoka Marekani, basi hakuna mabadiliko yaliyothibitishwa.
Wiki ijayo ni muhimu sana. Tuendelee kuomba. Tuendelee kuiombea Tanzania bila kukoma.
Mwishoni, ukweli na haki vitashinda. 🙏🏾🇹🇿
#HakiKwaTanzania #Uwajibikaji #TuombeBilaKukoma #UkweliUtashinda #FREETUNDULISSU
Thank you Prime Minister Lawrence Wong for your warm wishes.
I look forward to working closely with you to further deepen our Comprehensive Strategic Partnership and take India-Singapore ties to new heights.
@LawrenceWongST
#TANZANIA:SAID ISSA NA MWENZAKE WAISHTAKI TENA CHADEMA,WATAKA CHADEMA IZUILIWE SHUGHULI ZAKE
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTZ2 ) kimesema kimepokea wito wa mahakama pamoja na hati ya madai kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, inayokitaka chama hicho pamoja na Katibu Mkuu wake kuwasilisha utetezi dhidi ya madai yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis.
Kwa mujibu wa taarifa ya chama hicho, walalamikaji hao wamewasilisha madai yanayofanana na yale yaliyowahi kufunguliwa awali, huku wakiomba nafuu zilezile ikiwemo amri ya kukizuia CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa kesi hiyo ya madai namba 13832 ya mwaka 2026 imepangwa kusikilizwa mbele ya Jaji Mbagwa wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Kwa mujibu wa nyaraka za mahakama, shauri hilo linatarajiwa kutajwa Juni 15, 2026 saa 3:00 asubuhi, ambapo upande wa utetezi unatakiwa kuwasilisha majibu ya madai yaliyowasilishwa dhidi yao.
Tumefanya jitihada nyingi kuwasiliana na @tanpol mkoa wa Mwanza ili waleze ni sababu za kumkamata @AdvocateSailenc na ni kituo gani wamempeleka lakini hadi Sasa hakuna anayetoa majibu. Polisi waliomkamata walikuwa na gari namba T 113 DVU toyota hilux.
#BREAKING: WAZIRI WA ULINZI WA UINGEREZA JOHN HEALEY AJIUZULU AKISHUTUMU SERIKALI KWA KUKOSA UFADHILI WA JESHI
Waziri wa Ulinzi wa Uingereza, John Healey, amejiuzulu baada ya kuhudumu kwa karibu miaka miwili, akionya kuwa mpango wa uwekezaji wa serikali katika sekta ya ulinzi ni dhaifu na hatari kwa usalama wa taifa.
Katika barua yake kwa Waziri Mkuu Keir Starmer, Healey alisema mpango huo “umeshindwa kabisa kukidhi mahitaji ya ulinzi wa taifa katika kipindi hiki cha hatari.”
Alikosoa Hazina kwa kukataa kutoa rasilimali za kutosha, akibainisha kuwa bajeti ya ulinzi itapanda tu hadi asilimia 2.68 ya Pato la Taifa ifikapo mwaka 2030, kiwango ambacho kiko chini ya mahitaji ya kijeshi.
Healey, aliyekuwa akisimamia sera za ulinzi, maandalizi ya kijeshi na ushirikiano wa kimataifa tangu Julai 2024, alionya kuwa mpango huo dhaifu utapunguza utayari wa Jeshi la Uingereza na kuongeza hatari kwa askari.
Ushirikiano wetu na nchi za MASHARIKI (Eastern Block) ni wa KIHISTORIA na IMARA SANA. Sasa, ni zamu ya SLOVAKIA 👇. Sisi ni NCHI HURU ambayo HATUCHAGULIWI nchi ya kushirikiana nayo. HATUFUNGAMANI na upande wowote. Hata POLAND pia, wanaweza KUWEKEZA Tanzania.
Igp wambura na mkuu wa operation za jeshi la police,A J Haji ndio wahusika wakuu wa mauaji ya 29 Oct 29 2025. Saa 12 jioni ya Oct 29 2025, Haji aliamuru polici waue yeyote yule wapata,hata dani ya mayumba. Mwezi wa march 2026,Haji alieda kila mkoa na kuwapongeza Rpc kwa kuua wa🇹🇿
⚡️BREAKING: Evacuation has begun at the Pentagon due to a leak of hazardous airborne materials
Pentagon spokesperson Parnell said that internal systems “detected an air quality issue that requires precautionary measures until its severity is determined.”
Several floors of the Pentagon have been evacuated.
Putin has declared his readiness to meet with Zelenskyy and discuss a cessation of hostilities—though only in Moscow.
Judging by recent events at the front, Zelenskyy has accepted this offer.
The Armed Forces of Ukraine (AFU) are expected to reach Moscow by the end of the summer, enabling the parties to agree on peace.
"Strictly according to schedule"
https://t.co/DzrG4IjFDC
🔥 Magyar: "We are isolating Crimea in the near future."
He also compared the strikes on Russian occupiers' vehicles on an unprotected highway to "hunting for partridges in an open field."
❗️🇺🇦Ukrainian Defense Forces struck a column of approximately 50 🇷🇺Russian trucks carrying fuel and ammunition near Armiansk on the night of June 11. Part of the equipment was destroyed.
This was reported by the commander of the 1st Separate Assault Regiment, Dmytro “Perun” Filatov.
SAID ISSA MOHAMED AMESHITAKI TENA CHAMA:
Tumepokea wito pamoja na hati ya madai kutoka Mahakama kuu ya Tanzania, Dar Es Salaam ukitaka Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu wawasilishe utetezi wake dhidi ya hati ya madai ya said Isaa na mwenzake Ahmed.
Madai yao ni yale yale na wanaomba nafuu zile zile ikiwemo Chama kuzuiliwa tena kufanya shughuli za kisiasa.
Kesi hiyo namba 13832/2026 imepangwa kwa Mhe Jaji MBAGWA na itatajwa tarehe 15/06/2026 saa tatu kamili Asubuhi.