Moja ya Utofauti kati ya Mbowe na Lissu ni hiki ulicho andika
Chadema ya Mbowe ilijijengea katika misingi ya kujibu hoja na wanachama wenye kuheshimiana.
@IAMartin_@freemanmbowetz Maelezo Marefu......
Miaka yote alikuwa mtu sahihi, ila mlipotaka uenyekiti mka mtwisha uchafu wote ....mbona hajafanya hata 0.1% ya ubaya mliousema na kuaminisha watu.
@IAMartin_@freemanmbowetz Binafsi namuelewa Mbowe; kweli tulikuwa kwenye uchaguzi wa chama ila kampeni zilizotumika hazikuwa sawa. Kwa namna Mbowe alivyokijenga na kukitumikia chama hakupaswa kutendewa vile alitendewa. Kwa sasa tumuache aamue kwa fikra zake kati ya kushiriki nasi ama vinginevyo.
Kwenye timu ya mashabiki zaidi ya 25M mpaka sasa hata jersey 1000 hazijafika afu huyo huyo shabiki ambae hawezi kununua jersey ya 50k ndio anapanua mdomo "MO tuachie timu" anafikiri kuendesha timu ni kama kununua nyanya sokoni.
Nikiona unasema mo tuachie timu nakulamba block.
JAYRUTTY kamaliza Kazi, Sasa unaweza KUNUNUA JEZI YA SIMBA SC KWAJILI YA EX-FACOR kwa Shillingi 50,000/ TU.
LIPA KWA SELCOM PAY NAMBA 61223807 kwa kutumia Mtandao wowote.! Nunua Jezi unazotaka kurahisisha kumpata EX-FACTOR NAMBA 6, zimebaki siku 3 tu za usajili.