@robby_mauly@HenrqSam Usajili wa Buba Sparks viongozi wa Simba waliambiwa wachukue somo!! Tulitumiwa clip za deadline day simu zinapigwa watu wakamilishe taratibu fasta, chezaji hamna kazi ila ajabu inalaumiwa recruitment teamππ
Hakuna bingwa wa hovyo wala nn Machenali yakitwaa ndoo ndo yatakua yametwaa na historia itaandika hvoβ¦. Find a way to win regardless either you play good or bad just win simpleππΎ