@UHURU12345@Guluguja23 Kama taifa hawawezi wote kuwa na akili sawa, kuna gharama kubwa sana zinatumika kuwapumbaza na kuwaminisha watu kama kuko sawa, na siku tukiwakata hawa wanaotumiwa na watawala kuwapumbaza watu tutakuwa tumeshinda pakubwa.
@Mwinshehe07 Kuna rafiki yangu alikunywa bia za elf65 na kwenye kulipa alitumia card akatoa Laki 6 na elf5 kimakosa, Ilimchukua miez miwili kuludishiwa, mwenye alitaka jamaa anywe pombe mpaka ile hela ishe, ilikuwa balaa.
Heshima yako kaka John.
Naitwa Nyantori ni mwana CCM.
Ulikuja Serengeti sikuwa na hela ila naomba nitakutumia elf 25 uje uifikishe kwa mheshimiwa Lissu siku anasomewa hukumu atakunywa hata maji.
Hatuna hela ila tuna upendo na tunathamini mchango wake.
Damu yake
iliyomwagika pale AREA D DODOMA, itaabaki kuwa ukombozi wa taifa hili.
Mwambie tuna muombea sana.
29 Oktoba 2026 itakuwa siku yenye uzito mkubwa wa kihistoria na kihisia.
siku rasmi ya kuwakumbuka na kuwaheshimu wananchi wenzetu waliopoteza maisha kwenye maandamano wakati na baada ya uchaguzi.
Why This Day Matters (Umuhimu wa Siku Hii) Wapingania Haki, Sio Wahalifu
@vistovic17 Huyu niffer usimuweke picha moja na Mange hafanani naye hata robo, huyu kikojozi ni msenge, tulimpigania alivoitwa mhain leo anajiona ana akili k tu huyo