We all have the capacity to do noble or terrible things. The side of the equation we end up on depends on our decisions, not on the condition in which we find ourselves
Viktor Frankl.
Kama ulikuja nyumbani kwangu na ukaiba koti langu usije ukaniuliza kama niko tayari kulipokea tena. Inawezekana lisinipendeze kama linavyokupendeza wewe ukilivaa, lakini ni langu!
J.K. Nyerere (Akijibu juu ya utayari wa Africa kujitawala) #happynyerereday
Atakeye vuka mto
Aweke akilini
Lazima aingie majini
Avukaye mto
Hata akipita darajani
Atapita juu ya majini
Avukaye mto
Hata kiwa mtubwini
Lazima taingia majini
Avukaye mto
Wezifika ng’amboni
Fikeje bila pita majini
Tuseme!
Pita angani
Kuna maji winguni
#Mshairi
Mataifa karibuni yote ya Afrika yamekusanywa kwenye mji mmoja uko Korea kujadili masuala ya Afrika na wanaingia mikataba kuhusi nchi zao maelfu ya km kutoka Nyumbani 💔
What the emperors do when people become rusty, asking questions, questioning policies? They send them to the bigger circus game events!
That’s called distractions!🤔
Where we live, it is extremely hard to make it through in life, loads of setbacks than fore-steps, hundred times easy to loose than getting. The braves understand that “Tall trees require deep roots”
@INFLUENCERjr Mingi mnoo, “anaamini ye ni mwema na wabaya Mungu hawahitaji/samaki ana mengi ya kusema lakini mdomoni ana maji” “nikawa fresh kama breeze kwenye sauna/mapenzi yana uchizi wa kufreeze/wewe hauna” “ikiwa msafi ana zamani/basi mchafu naye ana future”…