Leo nimemkabidhi Mwana wa kuitwa GEORGE ZENO MAYUMBA,Zawadi yake ya TV aina ya HISENSE inch 55 ,Baada ya kuibuka mshindi kutokana na kucheza michezo iliyowekwa na BONGOBONGO BET, Zawadi bado zipo nyingi sana,
Gusa hii link ili ucheze na ushinde
https://t.co/cBwjJ8T87x
Wanangu nimehamia familia ya mihela,Familia ya mizawadi ,
Siyo kwingine ni BongoBongo , @bongobongo.co.tz,
Skia kuna zawadi nyingi zinatolewa, Fanya hkuingia kwenye website hii https://t.co/Z0veCkvBz9 utakutana na picha yangu,Clip hapo utakuta michezo yote ….!
Zamani ngoma kali ndo zinaingia top 10 au Top 20,Siku hizi imekuwa kawaida sana?,Yani ukiskiliza top20 au top10 asee Kuna ngoma hata 6 mtu hujawahi kuziskia hata mtaani,Turekebishe jambo hili tu cz mvuto umepungua,Watu wameacha kutenga muda kwa ajili ya hizo charts.
Najua kuwa,#BASATA ndiyo Baba na Mama wa Sanaa nchini Tanzania,Hivyo basi wasanii wanapopitia Depression ama changamoto fulani ambayo inaenda kuharibu image waliyoitengeneza kwa jamii,Ni bora kuwaita mapema na kujua wanachopitia na kuwapa msaada.
Label nyingi za Bongo,Unaingia ukiwa Msafi unatoka ukiwa Mchafu,Mifano ipo,ndo mana mi niliamuaga kujipambania tu hata kama safari ni ndefu yenye miiba na makorongo kiasi gani ila unafika ukiwa na Uhuru na Amani,Kama unaweza kujipambania Jipambanie,Mungu hajawahi kuwa na upande.
@fobyofficial@OfficialAliKiba King ni mtu sana aseee!! Sikwenda zenji ila nilikuwa nafatilia youtube ya crown,Aje na huku Kwetu Iringa tu enjoy muziki wa Live ..!
Niliudhuria Miaka 20 ya King @OfficialAliKiba kule Zanzibar,Asee kila kitu kilikuwa kwenye mstari,Arrangement ya artists kuperform, Live performance ya king mwenyewe 🙌🏾🔥,inawezekana ana plans nyingi ila hii miaka 20 inatakiwa iende mikoani pia,Congratulations King,You made it ✊🏾
Nimeona kuna baadhi ya watu wanamponda #MacVoice kwa kupiga show za #chakatochaka na kuandika kwa nini #Rayvany anamruhusu kwenda kufanya show mazingira mabovu,Wakuu kule kuna wa Tanzania wenzetu,Halafu #chakatochaka ina pesa nyingi kuliko hizi show za mjini mnazoziona!.
Wengi tukishapata majina ,Muda metu mwingi tunawekeza kwenye drama za mapenzi zaidi kuliko kuwekeza kwenye kuujua Muziki na vitu vyake,Punch zinaishia kitandani ,Ngono nyingi tukifika jukwaani tunahema tu ..!
Nidhamu ya muziki inahitajika sana.
@iboysean Labda kama wewe ndo unamjua kwenye interviews,Ila mwana siyo mtu wa media ila siku akienda anapasua,pia ukimfatilia utagundua ni kupwa na kujaa,Hajawa na consistency,nilimsikiliza juzi alikuwa kimya kwa miaka mi3 kwa kumuuguza baba yake,Ukimskiliza utaona huruma,Ila jamaa anajua