I now like it that Manchester United kumelipuka ๐ฏ๐ฏ.With Martinez saying that,I know kutakuwa na replies and reactions,and changes must be made.๐๐พ๐๐พ
Hawa watu wa Football KE should just stick with "Accept the truth and the truth will set you free" hakuna venye utadefend a lie that even the blind see
Murang'a seals wakieza piga hiyo Gor Mahia fans wao watawapiga nyongolo hapo Nyayo FT๐ญ๐ญ๐ญ nawahurumia Sana. Sasa hapa the best thing ni kutake the L fans wakiendelea kushangilia wapate chance ya kutoka stadium safe angalau wafike home
Sasa wewe football KE,Mimi nishakwambia ukweli,ni either urekebishe ama ukufe na kiburi yako. Otherwise,wacha mi ningoje Saturday nisupport wazungu๐๐
Football KE,, you can do good things to upgrade your league,and make teams better. Infact that league can be ๐ฅ๐ฅ. But the first step is accepting the truth, hauwezi tibiwa kama haujakubali wewe ni mgonjwa๐
Football KE fans don't want the truth,๐.
Since I was in primary school, fighting and beating the referee in games was heard of. Hadi WA leo bado iko. So if they can't control such a small discipline issue,how can we trust and follow their league??๐คท๐พ๐คท๐พ๐
I have a friend who supports this KPL thing. Yeye ni fan wa Gor, but every time alienda kuwatch game,yeye hutoka dakika ya 80 ndio aAvoid vita. So tell me is this what you want us to support???