Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.
Repost Repost Repost
Mange kaacha UMBEA inamaanisha kapoteza zaidi ya $100,000 kwa Mwezi. Na amesema ataachana na UMBEA kwa Miezi mitano.
Inamaansha anaenda kupoteza zaidi ya $500,000 kwa miezi mitano. Yote kwaajili ya HARAKATI za kuikomboa TANZANIA.
Kipenzi cha WAPENDA HAKI, hapa umejua Kutukosha DADA WA TAIFA. Naomba tushow love kwa REPOST 500🔥🔥
TUTAKUWEPO🫵🏾😎