@IsmailJussa Kusimamia unachokiamini na kusema unachikifikiri ni sahihi moyoni ni MUHIMU kuliko heshima ya unafiki. Mwenyezi Mungu amuhifadhi mahala pema peponi AMINA.
@IsmailJussa Kusimamia unachokiamini na kusema unachikifikiri ni sahihi moyoni ni MUHIMU kuliko heshima ya unafiki. Mwenyezi Mungu amuhifadhi mahala pema peponi AMINA.
@mshambuliaji Uzoaji wa taka Jiji la DSM sasa yapata miezi 6 ni majanga. Wakandarasi yaonekana hawana uwezo tena. Maeneo mengi kuna mlundikano ya uchafu na hivyo kipindupindu ni zao la uchafu.
Happy 63rd birthday President, Dr. Samia Suluhu Hassan. Thank you for your tenderhearted kindness, humility and patience. Always providing space for learning from experience and accommodating the opinions and wishes of others. Once again, thank you for exercising powers
CCM imesoma na kuelewa maoni ya ACT Wazalendo kuhusu uanzishwaji wa mchakato wa Katiba Mpya sasa.
ACT Wazalendo ilipendekeza mchakato wa Katiba Mpya uanzishwe si zaidi ya mwezi Oktoba,2022. Aidha wakati mchakato huo unaendelea, ipatikane Tume Huru ya uchaguzi.
Baada ya mitandao ya simu kukubakiana na serikali kupunguza gharana zai kwa 10%, sasa Tigo imewageukia wateja wake kwa kupungunza muda wa maongezi kwa 20%, internet (MB's) kwa 25% na ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwa 80% katika kifurushi cha saizi yako. "Maumivu yanaendelea"