@YasTanzania_ nashindwa kuwaelewa saivi mpk mshanikera....nimefanya muamara Toka tareh 16 na muamala haukufanikiwa ila mpk Sasa sjapata mrejesho wowote na mlinipa 24hrs muamala utarudi ila mpk saivi sijaona Chochote na Kila nikiwapigia mnaniambia pesa zisharudishwa .