Mimi ni vile sipendi fanyia watu mambo ambayo sipendi fanyiwa na ikitokea mtu kanifanyia maumivu yake huwa ni makali sana hii imenipishanisha na watu wengi sana kiasi kwamba naji limit sana na watu nina engage nao hata kwenye real life. 😔
AI inasaidia kwenye ku solve problems na ku simplify task,mfano ukiwa mtu wa tech unaweza pata Kaz ambayo ingekugharimu kufanya siku mbili ila ukitumia AI unafanya ndani ya masaa 6