#hakunahaliyakudumu
UNAWEZA UKABAKI KUWA MTAZAMO WANGU: Ila kuna Wasanii wawili wanahitaji kupewa heshima kubwa sana kwenye muziki wa Bongo Fleva.
1.Proffesa Jay
https://t.co/zUKIPTiGit Blue
Hawa wamebadilisha sana mindset za Watu juu ya mtizamo hasi kuhusu huu muziki. π
#hakunahaliyakudumu
Sawa wanyama inabidi tuwapende ila kwa yanayoendelea kuhusu Kurt Zouma na kumpiga Paka wake, yamejawa na ubaguzi mkubwa wa Rangi kisa Zouma ni mtu mweusi. Tukio hili lingekuwa limefanywa na Mzungu lisichechukuliwa kwa ukubwa huu. Wazungu wana ujinga mwingi mno
#hakunahaliyakudumu
"Ukiwa na pisi yako Moja nyeupe,mpole,hanywi πΊ, ANAKUPA UKITAKA,hakuwekei mipaka,hali nauli wala sio mtu wa kwenda clubs. Broo unataka nini kingine??"
#hakunahaliyakudumu
"Nachukia Sana ninapoangalia katuni Alafu naona anaendesha gari Kali,ameoa mke,ana watoto,amejenga na Bado anaenda bank kutoa pesa. Hi I kweli Mimi wa kushindwa na katuni kweli?" π https://t.co/HU9RCMZW7L
#hakunahaliyakudumu
Kwenye UPENDO mchicha unakuwa maini alafu inakuwa fresh tuu yaani, mtiti kumpata huyo atayeona Mchicha Kama maini sasa.!π @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/90GTXlBcoi
#hakunahaliyakudumu
"Kijana mwenzangu nakukumbusha tuu maisha machache Sana haya, ukipata wasaa wa kufurahi furahi usijipunje" π @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/N6BZu7kSa3
Eeeeh Haloooo Gilbert niaje Mzee wangu? Huu ndio ule mwezi na hizi ndio zile tarehe utaitwa majina matamu matamu kuwa makini aisee! Wasije wakakupunaπ @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/TF9YVGTugI
#hakunahaliyakudumu
Eeeeh Haloooo @gilbertjohannes niaje Mzee wangu? Huu ndio ule mwezi na hizi ndio zile tarehe utaitwa majina matamu matamu kuwa makini aisee! Wasije wakakupunaπ @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/ELw13nXR0C
#hakunahaliyakudumu
Mwenyekiti wa halmashauri kuu ya Vijana wenye moyo mweupe Kama tishu anawatakia usiku mwema.! @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/azaaZhLaqe
#hakunahaliyakudumu
"Usipagawe sana na maisha utatoka mchezoni, Kuna time yaache tuu yawe MC yakushereheshe alafu wewe kuwa mgeni mualikwa"
π @ Azam TV https://t.co/usyo7904Re