#HABARI Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini LATRA, CPA Dkt. Habib Suluo, amesema ndani ya kipindi cha miaka 5, leseni za magari zilizosajiliwa na kutolewa zimepanda kutoka 239,953 kwa mwaka 2021/2022 hadi kufikia leseni 590,498 Kwa mwaka 2025/26.
Leseni hizo za magari ambazo zimetolewa zinahusisha magari binafsi ambayo yamegawanyika katika kategoria/makundi matatu (3) ambayo ni magari ya abiria, Magari ya mizigo, na Magari ya kukodi.
Aidha, katika magari (usafiri) ya kukodi, zaidi ya asilimia 70 ya vyombo vilivyosajiliwa ni magari ya miguu 2 (pikipiki) na magari ya miguu 3 (bajaji).
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
Rasmi sasa, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Vincent Mpwaji.
"Mungu aliyeanzisha ndani yako Kazi iliyo njema, yeye Mwenyewe aikamilishe"🙏
@Vicent_Kassala@Sativa255 Hayo maneno yake hayana Afya kabisa unawezake kusema Mkuu wa nchi kachanganyikiwa?? Hiyo siyo sawa anapaswa kukamatwa na kutoa maelezo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Kigongo, Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025. Daraja hilo ambalo ni sehemu ya barabara ya Usagara-Sengerema-Geita ni sehemu ya barabara kuu inayoanzia Sirari hadi Mtukula na ujenzi wake ulianza rasmi mwezi Februari, 2020.
Kwa nafasi yangu ya Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Vatican mwenye Makazi Berlin, Ujerumani nimewasilisha salamu za pongezi na kheri kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Baba Mtakatifu Leo wa XIV.
Kwenye salamu hizo, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Papa leo XIV kufuatia kuchaguliwa kuwa Papa wa 267 na Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani. Aidha, amemuahidi ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake.
Kwa upande wake Papa Leo XIV ameeleza kuwa amefurahi kupokea salamu kutoka Tanzania, nchi ambayo anaipenda kwa kuwa ameshawahi kuitembelea mara kadhaa akiwa anatekeleza majukumu ya kikazi.
Ameelezea utayari wake kufanya kazi kwa karibu na Tanzania pamoja na nchi nyingine za Afrika.
Salamu hizo ziliwasilishwa baada ya Sherehe ya Kusimikwa rasmi kama Rais wa Vatican na Kiongozi wa Kanisa katoliki Duniani.
Sherehe hizo zilifanyika kwenye Basilica la Mt. Petro, Vatican leo tarehe 18/05/2025.
White smoke! The 133 Cardinal electors gathered in the Vatican’s Sistine Chapel have elected the new Pope. He will appear soon at the central window of St. Peter’s Basilica.