Advocate | Wakili | Commercial & Corporate Law | Tax Law | IP | Sports Law | Investment Advisory| Vice Chairperson TLS - Association of Young Lawyers 2025-2027
Mimi JOSEPH GIDEON nikila kiapo cha kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama Chama Mawakili Vijana Tanganyika (AYL) kilichopo chini ya Chama cha Sheria Tanganyika (TLS) mapema juzi tarehe 10 May, 2025 baada ya kushinda uchaguzi uliofanyika tarehe 7 May, 2025 Arusha-Tanzania.
@jsm000x@MiriamMkanaka Ni hati ya zawadi unampatia mwanao au nduguyo. Tofauti na wosia, yenyewe haina masharti umpe nani umwache nani wala milolongo mirefu kisheria.
@Kataraia_Amani@MiriamMkanaka Wosia bado upo vizuri hata sasa sema ni kwamba unatoa nafasi ya kuwa challenged mahakamani tofauti na Deed of Gift ambayo ni mapenzi ya mtu. Huwezi kuchallenge mapenzi ya mtu mahakamani.
@_Khalif01 Passport mnatoa kwa wasomali na wasudan kama njugu halafu iwe na nguvu don't make me laugh🤣🤣 May you're talking about Tz's passport in disguise.