For a blood and sweat earned PhD? Put respect on that!! From Feb 2027, not even my mother will adress me without โDrโ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ! And yes Iโll be Dr Baby too๐ฉ๐ฉ๐ฉ! Whatโs this damn๐ญ๐ญ๐ญ
Last week I was fighting for my life. Couldnโt eat anything. Today I am feeling better. I feel life restored in my bones. God is good! He loves me and I know๐ฉ๐ฅน
Miezi 6 ya mwanzo kwenye nafasi hii ya Udiwani na mradi wetu wa kwanza wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha zege pamoja na taa za barabarani umekamalika Buguruni Gana, mtaa wa Kisiwani.
Video na picha zinaonyesha hali ilivyo sasa na wakati nikisimamia kipindi cha ujenzi. Hii ndio sababu niligombea nafasi ya udiwani, kuweza kugusa maisha ya watu wa kawaida moja kwa moja. Tukumbuke wananchi wanaishi kwenye mitaa na kata.
#Buguruniyamatumaini
Baba yangu alifariki May 8th, 2020. Ila nimekua mnufaika mkubwa sana wa wema wake kwa watu wengine in his absence. I still randomly receive calls and help from my fatherโs friends. โWema hauoziโ May I remember this every single day of my life.