There are things I have done with women that I wake up to hit my head against the wall everytime I remember them. Bwana this thing called love is very Umbwedede. Kuna wakati ati sasa tumeenda picnic nayeye. Dont judge me,it made alot of sense then when i was still a kafukuswi. Tumebeba mabisquit,yoghurt,tujuice na maji,tukaenda huko Thika. Kuna mahali mnakaa namna hii mnaona tu maji inamwagika kwa cliff, waterfall. Na pia tumebeba shuka tumekaa chini namna hii sasa tunaongelea the future tukiumishana crisps, ninaona kweli hapa ikienda chini hatuwes pata watoto chini ya tano. Saa hiyo ni end month mhindi amenitwanga my honest 17,500kenyattas.
I was in love,yani mpaka sasa tulikua tumediscuss na tukaamua firstborn tunaita yeye Q,ndio watu waniitange babacue,woi! Jamaa wa pickup Wakanigongea baada ya miezi tatu aki mungu wangu, hardware nilikua naekelea simiti sita kwa mabega napanda mpaka 7th floor. Bwana There is a reason jesus never had a female disciple,wangevunja yeye roho arudi binguni na miaka nineteen. Bwana i even suspect ruto is a woman
Don’t die before being loved by a Kale woman though. But the day she marries her kindergarten bf Kip from Australia you’ll be driving an extra 150Km through Kisumu just to avoid Eldoret 😭😭
Mimi mnajua nikinunua gari lazima nitatesa sana aki. Mungu ata sitaki unibariki na gari kubwa,nipatie tu ata kama ni Fielder,niwaoneshe. Hii waschana ya hii wajamaa nitaswaga mpaka waanze kunichukulia OB aki. Juu kitu moja nilikuja kugundua,hawa wasichana walalahoi wenzetu,wakiona jamaa ni tajiri,huwa hawaombi pesa. Apana, Wanajifanyanga vile ata hawajanotice ako na pesa,ndio isionekane kama ni pesa tu wanataka. So they even give these jamaas free sex,without asking for anything. Ata hawaitishangi pesa ya uber,they come themselves. Pesa wanaanzanga kuitisha wakishaa apishwa,inaitwa long game
Watu wanaitishangwa pesa siku ya kwanza,ni sisi walalahoi. Unatext dem hey! After two hours anataka KFC. Sasa mimi nikiwa na gari si wasichana watadhani mimi ni tajiri wanipee free? Na sitakaa na deputy sana mimi,nitakua kama Ruto,gachagua akianza kuitisha shares kwa gafment na impeach yeye,naingisa kindiki ashikilie kiti,kindiki naye akianza upus,natoa yeye,naweka Moses kuria,namna iyo tu. Mpaka nisettle sasa.
Mungu mimi nimekaa chini nikaona sitaki kukuja binguni,nipatie tu pesa nitende dhambi kikamilifu. Thank you my father
Pombe ya Nairobi has scared me so much into sobriety. You can foundation thrive and hydrate all day and even bring a drip to the club and still feel like dying after one or two drinks
Hii nairobi sasa kuna rende ingine inaitwa the nairobi flying monkeys. This is a battalion of people in Nairobi who exist in this city dangerously. They play hide and seek with poverty everyday. Mtu hajaandikwa kazi,hawezi point aseme pale ndio nafanya kazi,but still they manage to pay rent,and some have even gone to the extent of buying cars. Hawa wanaishi kwa neema ya bwana,and they know it. Wanaendanga kusota kadeal kanatokea,wanarudi steady. They have done this for years. Na hawananga ata savings
Hawa ndio ile kitabu ya mathayo sita inaongelea,kuna mahali mungu anaambia watu yake, Look at the birds,they do not reap or store in barns,yet they do not sleep hungry. Is it not because they trust in me? These guys are very strong mentally. Wanajiaminia namna atari sana. Mtu anajua vizuri hajui kwenye atatoa rent end month,na saa hiyo tuko date 27,na hashtuki. Ako tu. Weh! Apana chesa na hii flying monkeys bwana
happy girlfriend's day to the girl i fumbled because i was still fighting battles within myself. you deserved a version of me i hadn't become yet. i hope you're happier than ever.
Mine is just to remind you if the laws governing Kenyan currency hadn't been changed you would be having a 50 shillings note with rutos face on it in your pocket right now . God is good 😊😌😊.