𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐅𝐎𝐑 𝐅𝐈𝐅𝐀 𝐏𝐔𝐒𝐊Á𝐒 𝐀𝐖𝐀𝐑𝐃.
Dunia imeona bao bora zaidi mwaka huu ni kutoka kwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Utamu wa bao hili zaidi ni kumfunga mtani na kuchangia mtu kuliwa kichwa.
Jambo la kufanya kwa Mwanasimba ni kutag akaunti ya @FIFAcom ujumbe uwafikie mapemaaaaa!!! #NguvuMoja
The 2026 FIFA World Cup draw takes place tomorrow in Washington DC. 🚨🇺🇸
All eyes across Africa will be glued to the ceremony, hoping our representatives land in favourable groups.
Africa is sending its largest ever contingent, and every nation will walk onto that stage carrying the pride of a continent behind them.
This is more than just a draw. It’s a united World Cup for all Africans.
No matter which country you support, we stand as one, pushing our teams to go further than ever before on the global stage.
Wishing every African nation the best of luck.
May the draw open doors for history to be written.
#FIFAWorldCup2026 #RoadTo2026 #AfricanFootball #UnitedAfrica #WorldCupwithMicky
Kijiji cha Chamwino, Dodoma, 17 Mei 2025
Nilipoungana na wanakijiji wenzangu waliojitokeza kwa wingi kujiandikisha na wengine kuboresha taarifa zao katika Daftari la Kudumu la Mpigakura.
Nimewakumbusha kuwa Uchaguzi ni sauti yetu wananchi, hivyo sote tujiandae kushiriki kikamilifu.
🚨🇹🇿 𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄:
President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe.
Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar.
He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is played in Dar es Salaam.
If the game is played in Zanzibar, Mo will not attend — I have such feeling. ☹️
#cafccwithmicky
#totalenergiescafcc
#nguvumoja
#CAFCC| “Tunatakiwa tufunge magoli mengi kadri itakavyowezekana” maneno ya beki wa Simba SC, Che Fondoh Malone akizungumzia mchezo wa kesho wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya Stellenbosch.
Nyota huyo amesema wanapaswa kuhakikisha kwamba hawaruhusu goli ili kujihakikishia nafasi ya kusonga mbele.
Mechi hiyo itapigwa saa 10:00 jioni na itakuwa LIVE #AzamSports1HD
Mchezo wa mkondo wa pili utapigwa Aprili 27, 2025 nchini Afrika Kusini na utaishuhudia tena LIVE #AzamSports1HD
(Imeandikwa na @allymuftiTZ )
#CAFConfederationCup #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #CCC #SimbaSC #SimbaZanzibar #Stellenbosch