Tumefikia wakati ambapo vijana waliokuwa wanategemewa kukomboa taifa wapo tayari kufa kwa ajili ya mapenzi kuliko taifa, Tunaposhindwa kukomboa Taifa letu uathiri vizazi vyetu, Ikumbukwe hakuna alieachwa akakosa mpenzi
Cc @KennedyMmari@NabilTanzania1@Kiganyi_#ChangeTanzania
SEEDED na UNSEEDED
Seeded = Timu bora.
Unseeded = Timu dhaifu.
Seeded timu inapata faida ya kuanza ugenini na kumaliza nyumbani kwenye hatua za mtoano.
Kutokea hatua ya 16 bora mpaka fainali hakutokuwa na mabadiliko.
Wasalam...
UEFA CHAMPION LEAGUE 2024-25: Usiku wa leo michuano ya klabu bingwa Ulaya itaanza rasmi lakibi kuna mabadiliko ya muundo, kuanzia idadi ya timu, idadi ya mechi na idadi ya makundi.
Nelezea kila unachopaswa kufahamu kuhusu muundo huu mpya.
Kwenye Knock-out play-off kuanzia timu ya 9 mpaka 16 hizi zitakuwa seeded na 17 mpaka 24 ni unseeded.
Timu zitakazoshinda zitaenda kuungana na zile nane nyingine kwa ajili ya mtoano ambapo timu
zilizomaliza 1 to 8 zinakuwa Seeded na hizi nyingine Unseeded.
@rayasel94 Kabisa ila pia muda mwingine tunaangalia namba kwenye comparison (magoli, assists, passes,trophies, individual awards nk), but tunakosa kujua playing style yake ilikuaje.
@KennedyMmari Kwamba wanatetea ujinga wao kuwa haukuwa ujinga? Au wametapeliwa kwenye situation ambayo any reasonable man angeliingia katika mtego huo?
Usimuulize mtu maswali yanayoonesha unalazimisha kuambiwa vitu ambavyo mtu mwenyewe hajawa tayari kukuambia.
Kuna vitu mtu anahitaji muda kidogo kujiridhisha na kiwango cha kuaminika kwako. Mpe nafasi. Ukifaulu mtihani wa imani atakuambia. Ukifeli, basi, heshimu faragha ya mtu.
Sad to post this. But we have to stop it for our national interest.
Imagine hiring Masters & PhD graduates who haven't done their own research? What is going on is really a national level tragedy #Tanzania@ThatBoyKhalifax@Udadisi@MBMabele
https://t.co/vp4GBLyV2V