@Ambele_Young ππ Fahari wawili hawawezi kukaa Zizi moja, kuna demu alikuwa mkali ila alikuwa ananitizama na nikimtazama tunabaki kucheka, kwa akili zetu kukaa pamoja isingewezekana kabisa labda kuchapana tu
@PapiiKhan98 Mahakama ipi mkuu, nikupe wazo
Fanya hivi mtafute mke wako jishushe utakavyoweza bembeleza utakavyojua then yamalizeni jenga familia yako, hizo mali mtagawana ni either atapeleka kwao au ale na msela mwingine, bora apeleke kwao ila kula na msela mwingine ππ