@heisnabeel Kwa Era yake alikua ni king of freestyle, na alikua ni genius kweli kweli, hawa watoto wenzenu wa 2000 wangekuwepo kipindi kile wasingewika mbele yake. Ni kama kudiss uwezo wa Tupac mbele ya akina kendric lamar just kwasababu hukupata chance ya kuexperience era ya Tupac
@Baradhuli2@TanzaniaGains kauli yake ilisema hivi ‘’ Wanasema kwamba eti tukifanya hivi tunachochea UASI, na mimi nasema ni kweli’’ swali ni akina nani walisema kwamba wakifanya hivyo ni uasi? ni sawa na mtu aseme kwamba ukimdai mdeni wako ni umechochea vurugu na wewe useme ni sawa tu, kosa ni lipi?