Kama mwanamke wako amekununulia perfume, kuna uwezekano mkubwa aliinusa kwanza kwa mwanaume mwingine..
Hajachagua hiyo perfume kwa ajili yako. Ameichagua kwasababu ya hisia alizozipata pale alipoinusa kwa mwanaume mwingine..
Elewa hili na uwe na akili timamu kaka..
Usiogope, kwa maana Mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana Mimi ndimi Mungu wako. Nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia; nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki Yangu.” — Isaya 41:10
@SuluhuSamia Shikamoo mama. Tunashukuru sana kwa moyo wako huo wa kutupenda wanao. Ila nina ombi moja kwako kwa siku hii ya leo naomba uingalie tena Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora kuna waalimu walishastaafu kwa zaidi ya miaka mitano nyuma hadi sasa hawajapaga stahiki
Zao wana hali ngumu🤝
Words fails me. 🌺But my heart is so full of Gratitude Happiest first birthday to my own Flesh and Blood. My answered prayer and my dream come true ..my little sunshine i adore you so much. May Heavens shower your life with every goodness and Blessings my little love 💗HbdAllan