Majirani Denim jumpsuit edition
Denim jumpsuit ni universal lakini kila mtu ameongea kwa lugha yake ya style. Nani kachana zaidi kwa mtoko huu wa denim jumpsuit?
.
Watch Review video ππ½ππ½
https://t.co/L8ycc2HIu0
#DenimJumpsuit#Jirani#Majirani#Judith
How to style a silk skirt
Jirani Sketi ya silk haijakosea, wewe tu ndio hujataka kuipa ushirikiano! π
Watch video on my YouTube channel
ππ½ππ½ππ½
https://t.co/au16RDXyWw
#SilkSkirtStyle#Jirani#majirani
Majirani tuchambue Mitoko Diamond Platnumz na Msaniii Bien kutoka Kenya kwenye video yao mpya ya βKatamβ
We have Denim drip looks to The Couture queen set and Leather look
Watch my review on my YouTube channel
ππ½ππ½ππ½
https://t.co/FaB2hw6yKF
.
#Jirani#Majirani#Diamond#Bien
Jirani I am so impressed by Tamara Ralph Fall Winter 2025.26 Haute Couture Collection
Ipo titled LA PERLE RARE, The elegance of Art Deco meets the spirit of Haute Couture in a celebration of opulence, precision, and modern allure.
.
#TamaraRalph#Jirani#Majirani
Majiraniii! π€π White suit & tie supremacy iko mezani!
@officialnandy na @therealpaulahkajala
Suti nyeupe haidanganyi and inahitaji confidence ya hali ya juu these Queens give us their best
Sasa Jirani, nani katendea haki hii look? Nandy au Paula?
#Majirani#WhiteSuit#Jirani
Gold dress SHOWDOWN
Lulu Diva & Meena Ally katika gold glam.
Ni nani ametendea haki hii gold dress?
Tell me kwenye comment
Watch Review video on my Instagram account
#Majirani#Jirani
Majiraniiii!
Vigauni Edition Birthday na Mother's Day
Featuring @meena_ally @aaliyaahofficial @therealpaulahkajala @iam_sishkiki
Which dress is your favorite?
Watch ππ½ππ½ππ½
https://t.co/dFaHpX6g40
Majiraniiii! Suit za Diamond: Sheria zinavunjwa au zinaandikwa upya?
Ni fashion forward au just confusion ya wardrobe?
#diamondplatnumz#suti
Watch ππ½ππ½ππ½
https://t.co/p8jFWodm8P
Itβs pink affairs
Viwalo vya mastaa kwenye Pink Table Event ya Brutal Fruit Spritzer launch in Tanzania
Watch ππ½ππ½ππ½
https://t.co/OPyWEbIAVM