Kama unataka kuanza kuingiza pesa mtandaoni 2024, jifunze Forex Trading.
Usitegemee kuanza kupata mamilioni haraka,
Elewa hivi trading itakulipa ukiwa serious nayo, epuka ma influencers wanakuambia trading ni rahisi sana watakuuzia courses na signals.
Unahitaji kua na team,
Nikikumbuka vita ya israel na palestina watu kidogo tupigane humu kila mtu analia na upande wake
Leo congo ni jirani zetu hata kwa mguu tunafika hakuna mtu anataka kuona wala kuongelea
Afrika tuna akili za kuzaliwa au za kupewa na wazungu?
Mabeberu yanafanya wazawa wanateseka kwenye ardhi yao urithi wao walioachiwa toka dunia inaumbwa....
Hii picha imeniliza kumbe bado sijajua mateso ni nini hapa dunianiπ
#FreeCongo