@VungaEl74 Sasa wewe huekewi nini! Ofisi inakabidhiwa tarehe 4! Huelewi nini! Ujinga wako wa jutikuelewa unamaliza bando la kukufahamisha! Vitu vingine vya darasa la saba!
@hamdan_ham70252@GillyBonnyTv Waliokufa ni wahalifu km wahalifu wengine! Hawawezi kutishia usalama wa nchi waachwe kwa ujinga wa kauli za mabeberu ya "utawala bora"
@GillyBonnyTv Huyu mkurugenzi anafanya kazi ya kanisa Katoliki baada ya Kanisa kugundua hatua hiyo ya kuunda Tume jinai itawamaliza wale wote walioleta mtafaruku ktk nchi kwa kutumwa na kanisa Katoliki.
@YoungAfricansSC DUBE atatunyima ubingwa! Magoli ya wazi anakosa! Sijawahi kuona striker mbovu Yanga km DUBE! Ametu cost sana mechi nyingi! Mechi tuliyopoteza dhidi ya DFC amekosa magoli mengi! Mtoeni!
@Tanfootball@TaifaStars_@tplboard UWANJA WA SAMUYO KUCHEZEWA DABI NI AIBU KWA LIGI YETU KESHO. UWANJA UMEHARIBIKA KWA MVUA, MPIRA HAUDUNDI! HII NI AIBU KUBWA! SIMBA WATAFUTE UWANJA MWINGINE!
@YoungAfricansSC Pacome aambiwe atoe pasi, anakuwa na ubinafsi wa ku dribo badala ya kutoa assist. Ataigharimu timu, anacheza na jukwaa la mashabiki! Hovyo kabisa!
@MickyJnr__ Kana ni Othman Kazi huyo ni mwanachama mtiifu wa Simba na anaelezea kwa kuangalia marejeo ya video. Ila refa uwanjani hana nafasi ya marejeo!