@godbless_lema Afrika ina laana na ndiyo itafika pia huku maana chama hakiwezi kushinda uchaguzi kinajua wananchi hawatakichagua hivyo wagachaguliwa na Bunge tu 🤣
@_zack255@BrendaRupia Wapumbavu mmezuia mikutano mmefeli sasa mnakuja na ajenda ya HECHE ungekuwa na akili ungeulizia mabilioni yanayo ibiwa na CCM kila mwaka CAG anatoa ripoti mnafingia nyanya 🤣
@royalmediatz Wapumbavu kwanza wamezuia mikutano halafu mnakuja na ajenda za kitoto kama hizi za HECHE pia mtashindwa kuruka ruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake rudisheni hizo hela watanzania siyo wajinga uchawa na njaa vitawaua kenge nyie.
@godbless_lema Hata ungekuwa wewe ungekubali kufanya kazi kwenye nchi kila siku wananchi wanatishia maandamano?
Nchi ambayo viongozi wake wanapatikana kwa kuua watu?
Nchi iliyo poteza watu wake zaidi ya 700 ksa kutekwa kuuawa halafu maisha yanaendelea tu?
Nchi inaiba uchaguzi 🤣
@Thommunkondya Ni ujinga kutuaminisha nchi ipo sawa ukweli ni kwamba athari za kuiba uchaguzi zinalitafuna taifa letu ila wapumbavu wameshupaza shingo hatupo pazuri na haya siyo maisha yetu tunaongozwa na wajinga.
@Jambotv_ Amani hailindwi kwa nguvu
Amani hailindwi kwa mitutu
Amani inalindwa kwa Haki
Mnadhulumu watu mnafanya ufisadi wananchi wakihoji mnakimbilia kusema mtailinda Amani kwa nguvu zote
Hakuna Amani inayo lindwa kwa nguvu zote huo ni utawala wa mabavu.