Life feels better ukiwa na ukaribu na Mungu unajikuta mwenye amani na kila kitu, hata failures sometimes unazichukulia part of God’s plans.
Ila the moment kuna kadistance na Muumba mambo yanabadilika kabisa kila kitu kinakutokea haukitazami kwenye angle ya wema, ni kama unaonewa unaona.
Ukiwa karibu na Mwenyezimungu, unaanimi kuwa kuna kheri kwenye kupata na kuna kheri kwenye kukosa, Unapewa kwa sababu na Unanyimwa kwa sababu so unamake peace na vyote.
Vingi vinatutoa njiani, Vizuizi ni vingi kwenye Njia sahihi ya kuomba/kuabudu Mwenyezimungu, Lakini binafsi nimekuja kugundua hii ndiyo Vita ngumu zaidi tunapaswa kupigana Duniani, Kupigana against kila kitu chenye lengo la kututoa kwenye Njia ya Mwenyezimungu, Njia ya Mafanikio.
GLORY TO THE LAMB ! Video out this Friday, 9th January, 2026. 4pm on YouTube.
This song is an encounter ! Over 20 minutes of Glory. The video is even more powerful !
It’s an experience you should have !
1 January 2026
https://t.co/TG1T8WgCre
Tundu Lissu is sleeping on a bare floor in jail whilst criminals are enjoying absolute liberty in our midst. Unfair and inhumane!
Free Tundu Lissu now.
Huku “Mwijaku na mke wake wameachana”, then “shamrashamra za Afcon”, halafu “iphone 17 zimeanza kushuka bei”, pia “kijana wa umri wako anaemiliki nyumba 3 za Airbn 3 amenunua gari mpya yenye plate number F” isitoshe “Harmonize bado anavuta timing ya Album yake” na “wanasiasa wanasubiri sikukuu zipite waanze rasmi kubrainwash watu”
Attention na focus yako ipo kwenye majaribio makubwa sana kuliko kipindi chochote siku za nyuma.
Kadri distractions zinavyoongezeka ndivyo jinsi wenye uwezo wa focus wanazidi kuwa na advantage zaidi ya kutimiza malengo yao. Na wasioweza kufocus wataendelea kuwa watazamaji wa wale wanaoweza kufocus.
Gari ya Mkuu wa Mkoa Daresalaam - 640,000,000
Gari ya Katibu Tawala Mkoa Daresalaaam - 640,000,000
Gari ya Wakurugenzi wa Manispaa za Ilala, Ubungo, Temeke, Kinondoni, Kigamboni - 640,000,000 * 5 = 3,000,000,000
Gari za Wakuu wa Wilaya Daresalaam = 250,000,000 * 5 = 1,250,000,000
Nyumba za kuishi viongozi hawa 500,000,000 * 12 = 6,000,000,000
Haujaweka gharama ya mishahara na posho zao, haujaweka gharama ya kulipa wabunge wao.
Meanwhile wananchi hawana maji, miaka 64 ya uhuru.
This shit must end!