Tunategemewa na ndoto zetu zaidi ya watu. Shikilia kumbukumbu ya ndoto zako kabla ya watu. Ukizipotezea kumbukumbu za ndoto zako, hakuna mtu atakukumbuka. #SomaTena#JulzTales
Epuka sana kutengeneza Perceptions juu yako kwa watu. Acha Mitazamo na fikra zao kwako zitengenezwe na wao. Utaepuka kujielezea sana kuliko kile unachokifanya kikakuelezea kwa mapana na marefu. Stop selling people your perception, you are killing yourself. #JulzTales
The more you keep hanging on the pain, the longer it will take you to heal and move on. Life has to continue. Be sad for now and remember there’s later. #JulzTales