Hii ni safari ya Dar es Salaam hadi Kigoma na ni lami tupu, hukutani na vumbi,halafu utasikia watu wakisema Rais Samia hakushinda kihalali,kwa maendeleo kama haya nani angeacha kumpigia kura?
Nchi imepiga hatua,zamanj safari ya kufika Kigoma ilichukua siku tatu hadi nne, lakini leo unafika ndani ya siku moja tu,Haya ni maendeleo ambayo wananchi wengi wanaendelea kuyashuhudia chini ya Rais Samia
@HecheJohn@KabolaMkumbo Subiri taarifa ya tume ya kijinai usiwe na haraka, tunajua waliohamasisha vurugu kwa kudai wanazuia uchaguzi na kushiriki kufanya mauaji kwa watu waliogima kuandamana barabarani na ndani ya nyumba zao bila hatia.
@JoyceHuru@TanzaniaLeaks Unamaanisha kuna vita ya dini? Sasa chadema pia siipo na Makanisa na TEC kwahio kwa maana hio na CCM kuna watu wa kanisa wameungana na Chadema? dhidi ya CCM kutokana na Imani ya dini ya Rais au ?
Ripoti ya Taasisi ya kimataifa ya tathmini ya kiuchumi, Moody's Ratings, imesema Tanzania ni Taifa lenye uchumi unaokua kwa kasi na unaoaminika katika masoko ya fedha ya dunia, kunakoiwezesha kuvutia uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje (FDI).
Wawekezaji mara nyingi hutafuta mazingira thabiti wanapowekeza mitaji yao. Kuimarishwa kwa kiwango na Moody's rating kunadhihirisha kuwa Tanzania inashughulikia changamoto zake kiuchumi kwa ufanisi, na hivyo kuwa mahali pazuri zaidi pa uwekezaji.
Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya kimataifa ya tathmini ya uwezo wa nchi kulipa madeni (Moody's Ratings), Tanzania ina uwezo wa kulipa madeni yake kwa wakati licha ya kuwepo kwa changamoto za kawaida za kiuchumi (B1).
Kiwango hiki kinaonyesha tathmini yenye mizania kuhusu uwezo wa Tanzania kulipa madeni yake, ambayo inaweza kusaidia kujenga imani kwa wawekezaji na kuchochea ukuaji wa uchumi. Aidha inaonyesha kiwango thabiti kinavyoweza kuimarisha uwezo wa Tanzania kuingia kwenye masoko ya kimataifa ya mtaji.
Hii inamaanisha kuwa serikali inaweza kukopa kwa masharti bora zaidi, kuruhusu fedha kwa ajili ya miradi muhimu ya miundombinu kama vile barabara, shule, na hospitali. Kuboresha miundombinu hakika kunachochea shughuli za kiuchumi lakini pia kunaboresha maisha ya wananchi.
Sambamba na hilo hali ya uchumi wa Tanzania unatarajiwa kuendelea kuimarika na kukua kwa kwa kiwango cha asilimia 6, hali ambayo itaufanya uchumi kuwa imara zaidi.
Ripoti hiyo, inasema ukuaji wa uchumi unatarajiwa kuwa zaidi ya asilimia sita, ukichangiwa na uwekezaji katika miundombinu, viwanda, madini na utalii.
Kwa upande wa mfumuko wa bei, umeendelea kubaki chini ya asilimia tano, jambo linalinda uwezo wa wananchi kununua bidhaa na huduma.
Kwa upande mwingine, Moody's Ratings imesema bado kuna shinikizo la kijamii, linalochochewa na kipato duni cha wananchi na ongezeko la vijana wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka.
Hata hivyo, ripoti hiyo inasema hatua za mageuzi ya kisera na mikakati zinazoendelea kuchukuliwa katika kushughulikia mambo hayo, zinaiweka Tanzania katika matarajio ya kuendelea kukua.
@godbless_lema@HakiHM36447238 Ujumbe umefika vizuri na ukweli haubadiliki hata nani Abwabwaje,Document yako ikitakiwa kupitishwa kwa Waziri Mkuu utspitia tu , kutoaminihivyo kuna thibitisha ujinga na hoja hamna zaidi ya matusi ninani mshindi? Mtajeni Waziri Mkuu ninani?
@godbless_lema@HakiHM36447238 Brother wacheni husda basi, Sasa kama sio Waziri Mkuu ninani? haya basi wakitakiwa mawaziri wa kuu duniani kukutana mzuieni Muende nyinyi, mnachofanya mnajishushia hadi Kaka na Chama kinaonekana kama cha wahuni tafakari.
@gee_shilila@TanzaniaLeaks Vipi Escrow lakini maaskofu, benki ya kanisa mkombozi na wakina mama wa vicent vya mboga na wote wahusika hakuna muislaam ila Rais alikuwa ni Muislaam na hakuhusika, unakumbuka?
@JohnNgutiCDM@Gibson44178359 Basi akakae yeye ofisi ya Waziri Mkuu na kusaini Document zinazo stahili kusainiwa na Waziri mkuu tuthibitishe anachosema na kama hawezi basi ababwabwaja tu, Wacheni kunajisi Chadema mnakifanya kuwa Chama cha watu wenye upeo mdogo na wahuni jitafakarini.
@Sativa255@IsackMahumbi Watu wengi waliuwawa pembezoni mwa barabara, majumbani mwao na kwa kuwa hawakutoka kuandamana na wengine kukatwa vidole kwa vile wametimiza haki yao ya kupiga kura, vinara wa maandamano walikuwa na silaha za kivita na wengine walivaa sare za Polisi.
@MdemaShepo@lifeofmshaba Unajidanganya mwenyewe? Basi haya hao sio wakatoliki ni Baniani, maana nyinyi mtu akijitambua tu na kukosoa anakuwa sio mkristo mara sio mkatoliki.