“Wasanii mnaotaka kutoka msiumize vichwa kuandika ngoma kali umizeni vichwa mnapataje subscribers wengi Youtube (Muziki TZ sasa tunapimana kwa views Youtube, inachekesha sana), na hii inapelekea kutozingatia ubora wa kazi zetu maana zinashindanishwa watazamaji na sio ubora”-HARMO