@TonnyUnfiltered Hiyo ni force attraction
Kama umesoma upthrusts hata aruke ruke hayawezi pasuka kwasababu yapo mengi na yeye yupo peke yake
Someni jamani
@angelampema@OCSileje Lakini si lazma salam kwanza ndio mambo mengine yafwate?!
Utaanzaje kutiririka points zako kabla hujajua unayechat naye yupo kwenye hali gani
@MsinguziEthan@spana_Konki Even me kwenye age mpaka ya 24 kukaa na mzee Hata dk 10 ilikuwa unahisi mateso mno ila baada ya kuja kugundua falsafa ya mzee huwa natamanigi nikae nae na kupiga story hata siku nzima๐