@SuluhuSamia Heri ya siku yako ya kuzaliwa madam President.
Naomba katika kusherehekea kwako siku hii muhimu, nisaidie mtaji wa 10 milion niweze kukuza biashara yangu ya cake. Natanguliza shukrani mheshimiwa
Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, ametoa wito wa kufanyika kwa uchunguzi kuhusu Mauaji na ukiukaji mwingine wa haki za binadamu yaliyotekelezwa katika Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba nchini Tanzania.
Taarifa zilizopokelewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa kutoka vyanzo mbalimbali nchini Tanzania zinaonyesha kuwa mamia ya waandamanaji na watu wengine wameuawa, na idadi isiyojulikana kujeruhiwa au kukamatwa. Ofisi hiyo haijaweza kuthibitisha kwa uhuru idadi ya vifo kutokana na hali tete ya usalama na kuzimwa kwa mtandao kulikofuata baada ya uchaguzi.
“Ripoti za familia zinazohangaika kutafuta wapendwa wao kila mahali, wakitembelea kituo kimoja cha Polisi baada ya kingine na hospitali moja baada ya nyingine, ni za kusikitisha sana. Ninatoa wito kwa Mamlaka za Tanzania kutoa taarifa kuhusu hatma na mahali walipo wote waliopotea, na kukabidhi miili ya waliouawa kwa familia zao ili wapate kupewa maziko ya heshima,” alisema Türk.
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amezitaka Mamlaka za Tanzania kuchunguza tuhuma hizi nzito za ukiukaji wa haki za binadamu kwa uwazi na kwa kina, na kuwawajibisha wote waliohusika.
Pia alitoa wito tena kwa Mamlaka kuwaachilia bila masharti viongozi wote wa Upinzani waliokamatwa kabla ya Uchaguzi Mkuu, akiwemo Kiongozi wa Chama cha Upinzani Chadema, Tundu Lissu, pamoja na watu wengine wote waliokamatwa tangu siku ya uchaguzi. Inaripotiwa kuwa zaidi ya watu 150 wamekamatwa tangu kura kupigwa.
Wengi wao, wakiwemo Vijana, wameripotiwa kushtakiwa kwa makosa ya uhaini.
#KitengeUpdates
Wakili wa Mfanyabiashara Jennifer Jovin Bilikwija maarufu Niffer ambaye ni Peter Kibatala ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu itoe amri kwa Magereza ya kwamba Washtakiwa anaowawakilisga wapatiwe matibabu akiwemo Niffer ambaye alifanyiwa vitendo vya ukatili kwa kupigwa na Maafisa kadhaa wa Polisi ambao walilazimisha asaini maelezo yanayosemekana kuwa ni ya onyo.
Kibatala pia ameomba Mahamama iifute kesi ya uhaini inayomkabili Niffer na wenzake 21 kutokana na baadhi ya kasoro kati ya hati ya mashtaka ikiwemo kutotajwa wasifu ikiwemo umri wa baadhi ya Washtakiwa.
Kibatala pia amesema hati ya mashtaka haikutaja ni mali za Serikali gani ambazo zimeharibiwa na Watuhumiwa hao.
Baada ya kueleza hayo, Hakimu Lyamuya alitupilia mbali maombi hayo huku akikubaliana na ombi la Washtakuwa kupatiwa matibabu ambapo kesi imeahirishwa hadi November 11 ambapo itaendeshwa kwa video (sio live).
#MillardAyoUPDATES
Let me be very honest with us Africans. The ICC or international community will never help us. They will fake they are helping you.
It's because they benefit from our suffering.
The only people who will help Africa, are Africans themselves.
Only Africans will change Africa.
Hakika kaz wanayofanya hawa wapambanaj @IAMartin_@Sativa255 imetukuka taifa letu tungepata vijana 💯 wenye uthubutu kama hawa basi Maccm tungeshayapiga chini siku mingi mungu awape maisha marefu sana moto mnaozidi kuupeleka Maccm yatatema bungo mdasio mrefu tuwape Retweet 300✌️