@safarimlevi@Eric__Bernard CCM wanatuona makuma tu, wanajitoa ufahamu badala tujadili hoja kbwa ya kwanini watu wanataka kuandamana? Wao wanakuja na vihoja vidogoooo vya kijinga sana
@Eric__Bernard Haijalishi watakuwepo au hawatakuwepo kitu cha kujiuliza nini sababu ya maandamano? CCM huwa mnajizima data linakuja suala la ukweli wa hali ilivyo!