Nimeona Watu wengi wanashangaa Mimi kusherekea ushindi wa odds 83 kwamba ni ndogo nilitakiwa kukaa kimya.
Na hii ni kwasababu wao wanashinda zaidi ya hizo odds kwa mamia na hawapigi kelele. Nawajibu wote kwa ujumla hapa sikilizeni.
Mimi nimeshinda odds 83 sio pekeangu—nimeshinda na MAELFU YA WATANZANIA, ushahidi upo. Wewe unashinda hayo mamia ya odds unashinda na nani?
Unaijua Presha ya kushare slip kwa maelfu ya watu? Have some respect—kama rahisi fanya ninachofanya hata week moja tuu.
Mtu aliweka Buku tano anapiga LAKI NNE na sio mmoja wapo zaidi ya Elfu moja unaichukulia poa? KATIWE HUKO.
There is a MAN somewhere right now who has:
- no girlfriend
- no side chics
- no sneaky links
- no texts
- no calls
Just by himself and fixing himself.
How is life, bro?
🚨 Cristiano Ronaldo: “I’m sad to see Man United like this. It’s still one of the best clubs in the world, a club that is always in my heart for obvious reasons”.
“They need smart, good people to manage the club and create a future as they did at Man United many years ago”.
“Nataka niwaambie, usajili ambayo tutaufanya msimu huu utakuwa usajili mzuri kwa lengo la kufanya vizuri kimataifa na kulinda mataji yetu ya ndani. Kwangu mimi nadhani huu ndio usajili bora kabisa kuwahi kuufanya katika miaka ya hivi karibuni” Injinia Hersi Said