@OleMtetezi Hapa kuna yule Jamaa wa Arusha anasema Watoto wanatafutwa kwenda shule yaani mazingira ni mazuri bila kujua hali za mifuko ya Wazazi zikoje hali ni ngumu sana CCM wanapaswa kuelewa na kusolve kero ya Ugumu wa maisha
@AmonNtinda Huruma ya Umma na Busara za kaka Mkubwa zihitajike katika suala hilo maana jamaa nahisi hayuko sawa tangu watoa zuio za Mikutano @godbless_lema anachukua saa 2 asubuhi na kama Mbeleko CCM au CDM nani anabebwagwa?
@Lizzie36021 Hapana hata kama ndo kucheza upatu hapana kwa kweli Buti tu zinaonyesha pesa ya kusuka utaisikia kwa Jirani na mafuta labda ya kujipaka utapaka Mawese