@ze_mandevu Sio kweli kwasababu tukirudi kwa lavalava tena yupo under WCB na Promo zilipolala lakini mbona inakuwa vigumu pia? .. So hizo ni chokochoko pia kumbuka kaka mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake.
@nyuki_malkia Chamsingi kaa mbali na wanawake kwa sasa, angalia future yako, vilevile usiache kuwalea watoto. Endelea kutafuta pesa kwa nguvu zaidi ukiambatana na dua za kupata mke mzuri kutoka kwa Mungu. Mungu anajibu atakubaliwa bro✊
Man Changamoto za kimahusiano sio kwa ambao hawana hela tuu ...
2021 nilifanya kazi na CEO mmoja ...
Ile kazi ilikuwa confidential sana so alihitaji niende Ofisini kwake ...
Dodoma ...
Wait ✋ ...
Kwa faida ya wanaume na wanawake Rt hapa 👇
@ommydimpoz Ommy Dimpoze✊ nakubareeee kinoma noma, Tunaishi mara moja tu kaka ukipata nafasi kama hivyo lazima kuutambua ulimwengu.wanapokaa tukae na wanapogusa tuguse.✊