@masoudkipanya@Sirjeff_D Kwa hiyo sababu imeandikwa Mungu kaumba so inabidi pia AUE?
Dini walitupiga tu hakuna kitu kama hicho,sababu kama kuumba ni sababu mbona Mungu kamuumba shetani,anaua watu alf anamuacha shetani ili iweje ? Na ndo mzinguaji no.1,
Wanangu tukienda kwenye bata,bia zikabaki tuziache bana sometimes KUJIBRAND sio mnaziweka kwenye chupa za maji .,chupa za maji znakua kama zimewekea chai ya rangi 😬
Wanangu tukienda kwenye bata,bia zikabaki tuziache bana sometimes KUJIBRAND sio mnaziweka kwenye chupa za maji .,chupa za maji znakua kama zimewekea chai ya rangi 😬
Alfu nyie wanangu tukiwa BAR tusitishiane utajiri,
Hakuna tajiri anaenda bar we tulewe tu sisi sote bado ni wapambanaji wenye stress 😂, sio unaanza mimi tajiri mimi utajiri ,ushamkuta lugumi bar au moe dewij ?
😂😂😂😂😂
Unawashikaji unawaita CIRCLE YAKO mnajiita A_LIST,unakusanya pesa wiki nzima ili ukawazungushie bia na whiskey ,alf ukipata tatizo/changamoto unaogopa kuwapigia simu kuwaeleza changamoto yako.unatupigia sisi B_LIST yani wanao unaohisi unatumudu.
#shega✌️
Kama una maumivu,akikisha unalia kwa NGUVU sana kila mtu asikie.Ili ujue atakae sogea kukupa faraja ni nani.Maana wakati wa furaha,aman na mafanio yako wengi huja karibu yako na ndo Muda sahihi wa kuwauliza kwani mwanzo hamkusikia nikilia?,Mbona nlilia kwa nguvu sana na hamkuja?
The problem is not people being uneducated.
The problem is that people are educated just enough to believe what they have been taught, and not educated enough to question anything from what they have been taught.
A.kuna wale watu WANAOKUPENDA,sometime hata HUWAPENDI.
B.kuna wale wote MNAPENDANA.
C.kuna wale HAWAKUPENDI NA HAWASEMI,ila we unawapenda na washakupiga matukio hukomi.
jibu:CHUKUA A + B maisha yaende,usipoteze muda
🔗🔗🔗🤫
kuna wale wanawake/wanaume wanakua na akili alf mnakua tu marafiki close,mnasupportiana mishe ikija mnaiweka mezani mnaipiga mishe kila mtu anaingiza kibunda anapita hivi mpaka raha,kimoyo moyo unaanza"NAPENDA ANGEKUA MPENZI WANGU HUYU.
Usijidanganye mkiwa tu wapenzi mnaaribu🤣