@Finah_Business Inategemea unaenda kununua nini huko stereo (nazi na matunda) ila ndizi urahis mabibo njegere sambusa au magomeni tangawiz na vtunguu boma ilala
@BarakaMaviatu Kwa nauli zilivyo na bei ya mafuta daladala hawawez kupata pesa na anayeumia zaid ni dereva na kondakta isiwe kama walivyopendekeza lkn nauli iongezwe hata kwa shiling 200
@fr_mosha@chabu_2016@mangekimambi Dar city ni club sio timu ya nchi na kwenye hiyo tournaments vilabu vyote vina udhamini wa visit rwanda (kwa maana hiyo ni kama simba au yanga kwenye cafcl na sio kama taifa stars kwenye afcon)