@godbless_lema Ni maoni yangu kuwa, uliyoyaandika hapa yamezidi ku prove a point. Zilikuwa ni tetesi kukuhusu, now kwa Kila chapisho lako linazidi kukusogeza karibu na "msukuma kete wa maridhiano"
Ni dhairi haupo sawa na maamuzi ya chama ama na kiongozi/viongozi flani
Ni maoni yangu
Uzuri wa Lissu ndo huu,, ni msafi kuanzia sirini hadi hadharani...
Hapa Agenda kuu ni Katiba mpya, kumfuata gerezani usiku utadhani mnaenda kuwanga ameshawaambia mumkome😃...
''Mmewaambia Watanzania ninavyowakumbuka? waambieni si muda mrefu nitarudi''
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Shahidi wa pili wa upande wa utetezi, Mh. John Mnyika, anamalizia kutoa ushahidi wake kwa kujibu maswali ya dodoso kutoka upande wa Jamhuri.
#FreeTunduLissu
#KatibaMpya
@HildaNewton21 Hapaswi kukaribishwa, muweke mipaka na ukali wa watu wa haiba yake. Huku ni kutukisea heshima wapenda haki, Amani na ustawi. Akacheze anapochezaga.
@MsigwaPeter Ingalikuwa juu ya uwezo wangu, nisingalikubali huu usanii. He knew exactly what he was doing, he was part of it, he is it and he will always be. Zile kejeli, ule ushiriki wa chuki, dhihaka na maujai, ulikuako, ulichochea na ulishiriki.
Never
@Liberatus80@MsigwaPeter No, behold brothers , we shall never forget, never forgive and never cross paths with these insoles selfish fools. They are still part of the regime. Tusiingie mkenge
Naibu Katibu Mkuu Bara wa @ChademaTZ2 Amani Golugwa ameeleza alivyoshangazwa na kauli ya ZCO, Afande Faustin Mafwele mara baada ya kuongea nae na simu juu ya ukamatwaji wa msaidizi wa Tundu Lissu.