The people of Mwika Market in Moshi, Tanzania- carrying their prized banana bunches with pride as they pursue their entrepreneurial dreams!
#BananaCity#MoshiMarket#Tanzania#FreshFruits
Photoshoot for @kataloguetz , showing beautifully tailored dresses and ladies handbags available in the store.
Enjoy.
.
.
#kabikaphotography @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/9ZXwH3zRUH
Photoshoot for @kataloguetz , showing beautifully tailored dresses and ladies handbags available in the store.
Enjoy.
.
.
.
#kabikaphotography @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/ssH1sB3BLt
Corporate Photography.
Petco Recycling Company Limited Lauching Event.
Petco is a combination of eight companies whose main goal is to protect the environment through plastic bottles.
#kabikaphotography#Plasticsiotaka#plasticisnottrash
Corporate Photography.
Petco Recycling Company Limited Lauching Event.
Petco is a combination of eight companies whose main goal is to protect the environment through plastic bottles.
#kabikaphotography#Plasticsiotaka#plasticisnottrash
Waswahili husema Elimu haina mwisho, na sasa kupitia uboreshaji wa teknolojia tunaweza kujifunza popote, karibu ujiunge nasi saa tatu kamili asubuhi tuzungumze mawili matatu kuhusu namna ya kuendelea kupiga mishe kitaa kipindi hiki cha Corona.
#ElimikaWikiendi
Tunaelekea Miaka 2 sasa tangu Corona ilipogundulika na kusambaa duniani,wote tumeona namna gani kirusi hichi kimeweza kuathiri maisha yetu kuanzia kazi,biashara, hata kuingia majumbani na kuchukua wapendwa wetu.Tunasongaje mbele sasa?
Jumuika nasi kujifunza zaidi
#ElimikaWikiendi
Ni kweli Corona bado ipo na sasa tuko katika wimbi la 3,lakini haituzuii kuendelea na mishe zetu kama tukizingatia na kuchukua hatua zote muhimu za kujikinga dhidi ya kirusi hichi,kwanza kabisa kapate chanjo kwani ni salama na imethibitishwa na wataalamu duniani
#ElimikaWikiendi
Hakikisha pia unavaa barakoa safi kila wakati, barakoa hiyo ifunike pua mpaka kidevu na kama sio ya kitambaa basi jitahidi kuibadilisha kila baada ya masaa 6-8, ikiwa barakoa yako ni ya kitambaa basi kumbuka kuifua na kuipasi vizuri kabla ya matumizi siku ijayo
#ElimikaWikiendi
Ukiwa katika mishe mishe zako zingatia kusimama umbali wa mita moja kati yako na mwenzako kujikinga dhidi ya corona kwani kirusi hichi husambaa kwa njia ya hewa lakini hakiwezi kwenda mbali zaidi ya mita moja.Namna hii unaendelea na mishe zako kama kawaida.
#ElimikaWikiendi
Kama unapiga mishe sehemu zenye mikusanyiko au kuhudumia watu wengi ni muhimu kuvaa barakoa muda wote,hii itakulinda dhidi ya maambukizi mapya lakini pia kumuonyesha mteja wako kuwa unajali afya yake,unaweza pia kuweka sanitizers ili wajisafishe baaada ya huduma
#ElimikaWikiendi
Linda sehemu hizi kuu mbili ili uweze kuendelea na mishe zako kama kawaida 1. Pua: vaa barakoa safi na sahihi kila wakati, hii huzuia virusi vya corona kuingia mwilini kwa njia ya hewa kupitia pua ama mdomo, badilisha barakoa hii baada ya saa 6.
#ElimikaWikiendi