Kwa heri Mzee James Mapalala. Utakumbukwa daima kwa mchango wako muhimu uliotoa katika kukuza na kuendeleza demokrasia ya vyama nyingi nchini. Kapumzike kwa Amani. Ameen
New Tumblr post: "Mishaa - Yo Pe - Danse Video
Innoss'B Ft Diamond Platnumz -..." https://t.co/s6BfHCp6La Yo Pe - Danse Video, Mishaa, Innoss, Innossb, diamond platnumz, Innoss'B, culture, music, dance, africa, east africa, goma, DRC, Tanzania, kimludcom, danse, Afro congoโฆ
Taasisi ya Kiswahili nchini Canada, Swahili Vision International Association(SVIA) imemtunuku Tuzo ya Heshima msanii Diamond Platnumz kwa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili kimataifa kupitia muziki wake.
@diamondplatnumz#Canada#zanzibar24habari
Nyota wa muziki Tanzania na Afrika @diamondplatnumz ametunukiwa Tuzo ya Heshima kwa kutangaza lugha ya Kiswahili sehemu mbalimbali za dunia kupitia muziki wake.
#DiamondPlatnumz ametunukiwa tuzo hiyo na 'Swahili Vision International Association (SVIA)'
Kujiajiri ni njia nzuri lakini pia ni njia Ngumu, biashara kufa, kuibiwa, kuzidiwa ushindani, changamoto ya mtaji, kua na idea zisizo fanya kazi, kuzidiwa na mkopo, wingi wa bidhaa sokoni....kama tunajiandaa kujiajiri tujiande kikamanda
Elimu ya kitaa haimtupi mtu kwa sababu haina mtaala kila mmoja anajifunza kwa namna yake, alafu hakuna darasa la watu wanao fanana umri ni mchanganyiko wawezajifunza kwa baba, babu, msanii, mwizi, msela, nakadhalika
Tunayafahamu mapungufu yetu, haya ndio yanatujengea msingi wa kujiona sisi hatustahili hili na lile, ukweli nikwamba wale unaodhani wanastahili nikwasababu tu hufahamu mapungufu yao....ukamilifu sio asili ya mwanadamu usijione huwezi kwasababu ya mapungufu yako
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu
Mke wa mtu ni sumu