Richarlison asimulia sababu za kutiana Mangumi na Vinicious mazoezini
"Alisema siwezi kushinda klabu bingwa nikanyamaza ,akasema Tottenham itashushwa daraja msimu ujao nikanyamaza,ila akasema Mudryk ni bora kuliko mimi, hapo ndio jaziba likazidi akili"
@PresenterNoah
Huu muunganiko tena (REUNION) ya AZIZI-KI na YAO unaweza kumfanya MASTER KI kuwa AZIZI yuleeeeee wa ASEC.
Kuwepo tena timu moja na YAO kutanyanyua morali na kujiamini kwao wote hivyo watu wategemee kumuona AZIZI-KI mpyaaa kabisa.