TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA HIVI HAPA๐ฅ๐ฅ
โ๏ธ Reply handle yako hapa
โ๏ธ Like handle zilizowekwa na
watu
โ๏ธ Mtu aki like handle yako
mfollow
โ๏ธ Mtu akikufollow follow back usimuunfollow usiku wa manane๐
Kwa pamoja tutafika 10K.
โ๏ธRepost ili tupate followers wengi wapya
Mtoto wa Dada Yuko Darasa la Tatu bhasi juzi alirudi Maskani akanikuta ikabidi aniweke chini anielezee Matatizo yake yanayomkuta kwenye MAPENZI PALE SHULENI ๐
Bhasi Dogo pale akaanza " ANKOLI juzi niliingia Shule pale mida ya saa Mbili nikasema ngoja nikamsalimie ๐
Yule jamaa aliyekuwa anabaki darasa A, kulinda sahani na vijiko visiibiwe sisi tukichanganywa na B kusoma maarifa ya jamii kanunua Harrier anakonda kabla yetu๐ญ๐