Km. 100 kwa saa badala ya Km. 80 kwa saa.
Hayo yamebainishwa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mayunga Raphael Mayunga Septemba 19, 2024 alipokuwa akiongea na waandishi wa habari katika Kituo kukuu cha Polisi
https://t.co/oKJmE3NkcP